Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

Sasa hiyo ya usenge na usagaji wakitaka kujiridhisha inamuaje kama siyo kweli??
Asylum zinapatikana kwa interview usidanganywe na mtu.

Wapo wahuni tu wa vijiwe vya Dar wazamia meli wamemwagwa hapo Canada na claim yao wao ni wakimbizi na wamepewa makaratasi na wanalipwa public fund, wanaotaka kusoma wanapelekwa shule.

Canada ndio nchi pekee duniani yenye uhitaji wa raslimali watu.
 
Nime ku pm mkuu
 
Utafia jela ndugu
 
Asante sana mkuu
 
Kuzamia nchi yeyote ya Nje bila proper document ni shida sana kuliko shida za Tanzania. Ni maisha ya upweke, na struggle nyingi.

Huwezi liona mapema, ila utaliona as you age, kuishi nje bila uwezo wa kutoka na kuingia ni maisha ya upweke sana.
 
Hujui

Wewe huijui Kanada. Watakurudisha vinginevyo useme wewe ni msenge au msagaji. System yao hsipenyeki
Maskini wazungu ndo walitumalizia vijana kumbe akikubali kuwa ni shoga au msagaji anapokelewa kwa mikono miwili? Ukute vijana wetu wakifika huko wanalazimika kutumia hii njia maskini.

Mleta mada hope utasoma hapa mimi sina experience ya huko nina marafiki tu ila walinambia ukifika huko jaribu kusoma hata short course hii itakufungulia njia hawa wapuuzi wasije kuharibia maisha.

All the best.
 
Asilimia kubwa ya wabongo ni chuki na kukatishana tamaa. Kuna mijitu inamtisha mshikaji utafikiri Canada ni kuzimu.

Tafuta wajuzi mkuu ujilipue mbele. Bongo nyoso ujinga tu. Hata mimi nikipata chance mbele kwa mbele tutajuana Huko Huko hakuna kutishana hapa
 

Cha maana wewe kaombe kazi. Ukipata umeula
Ntakutumia emails za wadau na hata namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…