Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

Hii njia inaitwa asylum sujapanga kutumia njia ya kipuuzi hii, mimi nataka kuishi kibabe
 
Asante mkuu
 
You knocked on the wrong door mkuu. Canada hawazamii, utakufa kwa njaa huko.
Canada siyo UK au US kwamba utazamia, aliyekushauri atakuponza.
 
Canada siyo sehemu ya kujilipua mkuu,
 
Ulizia mashamba makubwa ya ngao yapo upande gani potelea huko kama vibarua
 
Nchi gani zinafaa kujilipua? Nimeshapata VISA mkononi mkuu.
US, UK, German ni rahisi zaidi, pia kazi zipo but Canada aisee huwa panafaa ukiingia kama mwanafunzi, mkimbizi, asylum.seeker, na skilled or unskilled worker.

Anyways najua mpaka umefikia kufanya maamuzi hayo lazima utakua una sababu nzuri na mikakati zaidi ya uliyoandika hapa .
Mimi nikutakie kila lenye heri.
 
Shukrani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…