Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

Nakubaliana nawe. Wamechoshwa na hawa watu ukiachia mbali wengine wakiingia wanakuja na ugaidi wao
Hata kupata kazi nzuri ngumu especially GTA maafisa uajiri wengi ni wadosi,wakiona jina masanja wanatupa kwenye dustbin application yako
 
Hata kupata kazi nzuri ngumu especially GTA maafisa uajiri wengi ni wadosi,wakiona jina masanja wanatupa kwenye dustbin application yako
Kazi nzuri Canada ni ipi??? Canadians are very loyal(100%) to their government, hapa hata uje na Ph.D. watakwambia you are over qualified ( kama una elimu ya UK) at least wanaweza kukusikiliza

Ukiwa na Canadian diploma unaajirika haraka sana kuliko Ph.D. ya Makerere University.

Kazi hapa ni kazi, I worked in a warehouse when I arrived and was paid $18/hr (44hrs per week) ambayo kwa Toronto unalipwa $19/hr na kazi zote inafanya Mashine

Sas kazi nzuri ni ipi unayoongelea? Ukifika hapa usitake ujilinganishe na mtu mwenye miaka 4+ unataka kazi ya uhasibu kisa una UDSM degree ndio una miezi 6, haiendi ivo
 
Hii thread imefikaje jukwaa la Chitchat?

Mods mko serious kweli?
 
Kama sikosei nasikia Canada ni moja ya nchi zinazotafuta wataalamu wa fani mbali mbali kwa ajili ya kufanyakazi katika sekta mbalimbali! Kwa hiyo kama una fani ambayo wanaihitaji HUENDA wanaweza kukuchukua.
Lakini kama wewe ni mzururaji wa huku,huna elimu yo yote sijui.
 
Acha wamle si ndiyo akili yake. Basha hawawataki huku. Wao wanatangaza usenge.
Acha kumkatisha tamaa baharia mwache ajilipue maisha popote,binafsi kabla sijafikiria kubinjuka nilitishwa sana sijui unapata faida gani kumtisha!!
 
asylum unakuwa maanisha nini
 
Mkuu mie NAKUTIA moyo,tafuta mke mengine yata ji set
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…