GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,092
- 2,210
Wadau heri ya Christmas. Last week nimejifungasha toka Iringa mpaka Tabora wilaya ya nzega kumuoa binti ambaye nimempenda sana.
Nilifurahia sana namna walivyotupokea na namna mchakato ulivyofanyika fasta bila complication nyingi. Kwanza mfumo wa upokeaji mahari wa hawa jamaa ulinishangaza. Watu hawakuwa wengi ni ndugu wachache na majiran kadhaa tu.
Nilipangiwa mahari milioni 2.5 lakini wale watu ni waelewa mno tulipo bagain wakatuelewa na kufika 1.5m. ulipofika muda wa kutoa pesa tukatakiwa kuiweka kwenye hii sahani yenye majani mawili😀. nimesahau wanaitaje. Hakika moyo wangu unafuraha sana.
Pongezi kwenu wanyamwezi. Nishakuwa ndugu yenu