Nimepeleka mahari unyamwezini

Nimepeleka mahari unyamwezini

Kwa hiyo ni taarifa tu umetoa au unatafuta ushauri?

Hawaelewekagi hao kama Wapare!

Halafu wana mambo ya shirki.
 
Hiyo 1.5m alikuwa bikra? Au ni single maza ..
Karibu, hatutegemei kuona uzi wako wa kulalamika humu maana ABC unazo
 
Wadau heri ya Christmas. Last week nimejifungasha toka iringa mpaka tabora wilaya ya nzega kumuoa binti ambaye nimempenda sana. Nilifurahia sana namna walivyotupokea na namna mchakato ulivyofanyika fasta bila complication nyingi. Kwanza mfumo wa upokeaji mahari wa hawa jamaa ulinishangaza. Watu hawakuwa wengi ni ndugu wachache na majiran kadhaa tu. Nilipangiwa mahari milioni 2.5 lakini wale watu ni waelewa mno tulipo bagain wakatuelewa na kufika 1.5m. ulipofika muda wa kutoa pesa tukatakiwa kuiweka kwenye hii sahani yenye majani mawili😀. nimesahau wanaitaje. Hakika moyo wangu unafuraha sana. Pongezi kwenu wanyamwezi. Nishakuwa ndugu yenu

View attachment 2057167
Mzeya umecheki lakini sikoseli kwenye ukoo?
 
The soldier is down! Ushalogwa
 
Back
Top Bottom