Nimepeleka mahari unyamwezini

Nimepeleka mahari unyamwezini

Jamaniiii, sawa lakini kama umeridhia.

Ila nimeskia huzuni kwa ajili yako.

Merry Christmas and Happy New Year 2022.
Nimeona cousins wangu wanavyo suffer hiyo kitu achana nayo. I wouldnt wana have my child experience that. Alafu unajua mbaya sasa unatotoa mmoja yupo vizuri mwengine ngona positive kweli kweli.
Sasa hapo kama mzazi inabidi uelekeze nguvu zote kwa huyo ..maupendeleo kama yote. Inaleta stress sana ndani ya nyumba. Kama kuishi bila mtoto nitaishi tuu. Sio knowingly najua kabisa hii kitu ipo kwenye ukoo alafu bado naleta ukinganganizi wakuzaa. Huo ni ubinafsi.
 
Nimeielewa hofu yako.

🥂.
 
Hivyo vijani vinawakilisha nini?

Mambo ya mila za Kiafrika ni vyema kuuliza kila kitu, usijekuta jinsi vitavyokauka ndio nanyi mambo yenu yatavyoenda mrama...
 
Boss Hongera,,,, ila nikushauri tu ndoa sio lazima...

So jitahidi kutunza ndoa kadri ya uwezo wako....

Likitokea lolote utajua la kufanya...

Kweli asijilazimishe sana akazeeeka vibaya, usilazimishe ukafikia hatua ya kujisema kama mwehu barabarani
 
Yaani mahali umepunguziwa sikuhiyohiyo ukalipa au ni chai unadanganya?

Comment ya mtu anayeona 3mil ni pesa mingi...

Mahari huwa zinajulikana ile round figure, na kitu kizuri kwenye mahari ni kuto bargain...unalipa yote...
 
Comment ya mtu anayeona 3mil ni pesa mingi...

Mahari huwa zinajulika ile round figure, na kitu kizuri kwenye mahari ni kuto bargain...unalipa yote...
Kwa wazaz wanaojitambua hawawez kukubari umalize mahari yote mkuu. Inayobaki huwa inamalizwa indirect mfano unapowatumia pesa ya matumizi au kuwanunulia zawadi
 
Kwa wazaz wanaojitambua hawawez kukubari umalize mahari yote mkuu. Inayobaki huwa inamalizwa indirect mfano unapowatumia pesa ya matumizi au kuwanunulia zawadi

Hizo ni kasumba za watu tu, mke huwa hakopwi...kama wewe ni mkristo unaweza rejelea kisa cha Yakobo na wakeze, namna ambavyo jamaa alitumika ili ampate mkewe, na kutumika kule kulikuwa sharti mojawapo la mahari
 
Back
Top Bottom