Nimepeleka mahari unyamwezini

Inaonekana una furaha sana mkuu. Ikawe kheri kwenu In Shaa Allah..[emoji4]
 
Kuna familia moja ya kinyamwezi ndo niliona watoto walikuwa na siko seli. Mmoja wa watoto alifariki tukiwa form 3.

Ukoo wetu hakuna mwenye nayo, sijui wengine.
Ah basi nyie bahati. Sie kwetu upo na ndio maana ata pia naogopa kuleta mtoto duniani isije ikala kwangu....maana hospital ndio kila leo.
 
Ah basi nyie bahati. Sie kwetu upo na ndio maana ata pia naogopa kuleta mtoto duniani isije ikala kwangu....maana hospital ndio kila leo.

Aiseeeh, poleni.

Sasa si ujaribu kuchanganya damu na kabila lingine mtoto asipate siko seli? Maana licha ya kirithi kama genes za mama zikichanganyika zinaweza kupunguza ukali wa kupata sikoseli...
 
Boss Hongera,,,, ila nikushauri tu ndoa sio lazima...

So jitahidi kutunza ndoa kadri ya uwezo wako....

Likitokea lolote utajua la kufanya...
Pamoja mkuu. Thanks
 
Aiseeeh, poleni.

Sasa si ujaribu kuchanganya damu na kabila lingine mtoto asipate siko seli? Maana licha ya kirithi kama genes za mama zikichanganyika zinaweza kupunguza ukali wa kupata sikoseli...
Ah wapi ...i am not taking that risk.
 
Hapo kwenye kupunguziana bei ndo changamoto, nilisitishaa kuoa miaka ya nyuma kwa ujinga wa namna hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23] walijupangia Tsh ngap?
 
Reactions: Lee
Mtaa gani pale Nzega?Kashishi,Nyasa,Kitongo,uzunguni,majengo,ushirika.. Kama mkeo katokea hiyo mitaa jua nishamtafuta kipindi nilipokaa pale mjini mwaka 2018-20.

Rai:Wanawake wa kinyamwezi wanajijua wenyewe hivyo kaa naye 'mguu ndani nje'.
Kata ya ndala mkuu. Haipo nzega mjini[emoji16]
 
Zilikuwa 3m na makorokoro , aliyeenda akanambia kuwa lakin tukiongeq nao wanapunguza nikamwambia mzee ww rudi ,mambo ya kubageiiiiniiii imekuwaaaa nguoooo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…