Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Wakikutana Yanga na simba haitakiwi kuidharau gemu, inabidi gemu iwe full mkoko
Vinginevyo kelele za Makolo zitakuwa kuanzia januari hadi disemba
Utapoongea kidogo tu watu watakutumia poster ya yanga 1 - 9 simba
In short matokeo yoyote yanaingia kwenye history kama inavyokumbushwa history ya 1970+ huko 8-0
Mwambie jamaa kiazi. Kwanza hakuna Yanga B hao ni players wanalipwa na wamesajiliwa
Then timu imekamilika kuna kina mkude Farid kibwana okrah na wengineo
Mnataka Yanga A ip Zaid ya hiyo