Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Mbona una hasira hivyo ndugu?Ni upumbavu huo ushabiki wa kutojua thamani ya mashindano, aina ya timu. Kocha awapange hao hao watoto tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona una hasira hivyo ndugu?Ni upumbavu huo ushabiki wa kutojua thamani ya mashindano, aina ya timu. Kocha awapange hao hao watoto tu.
Neno upumbavu ndio kipimo cha stara kwako?Una kipimio gani cha kupimia hasira?
Angemtumia na kocha wa Yanga B na wa akiba ili wakashiriki hayo mashindano kama hayamuumizi kichwa.Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
Simba na Yanga hazina game ndogo Wala kubwa siombei ila ngoja akosee afungwe huko mapinduzi na Simba uone kama hali itakuwa sawaUkifungwa 7+ kwenye Mapinduzi unapata hasara ipi? Huu ni muda wa wachezaji wengine kupumzika. Hawana umuhimu wa kupoteza nguvu zao kwa mashindano ya kipuuzi.
Hata simba hivyohivyo, ni sehemu ya mazoezi tu ukizingatia club zipo likizo,hivyo huna jipyaKwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
Kwan walipeleka team kualikwa hawana akili ila wewe ndio mwenye akili???Hapa ndipo ninaposemaga Manara alikuwa sahihiMatokeo ya mechi kwenye michuano ipi?
Ole MIIBA 5 imewauma sana akina Mr. ZeroWakikutana Yanga na simba haitakiwi kuidharau gemu, inabidi gemu iwe full mkoko
Vinginevyo kelele za Makolo zitakuwa kuanzia januari hadi disemba
Utapoongea kidogo tu watu watakutumia poster ya yanga 1 - 9 simba
In short matokeo yoyote yanaingia kwenye history kama inavyokumbushwa history ya 1970+ huko 8-0
Kwahiyo mkichukua kombe zawadi ya mshindi wa kwanza mtawapa chama cha siasa au mtaimarisha timu?Shirikisho ni kombe kubwa, linatambulika na FIFA na CAF. Mapinduzi ni bonanza au hulijui hilo? Ni mashindano ya kisiasa hayo kuenzi uhuru wa Zanzibar.
Makombe makubwa ni makombe yanayotambulika na FIFA ( kwa ngazi ya ndani ni ligi kuu na FA)
Kwani Unaumia gongowazi?Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
Kila mwaka huwa hivi...sio mwaka huu ndio ilivyoooKwa mwaka huu mashindano yamekua na faida ukizingatia ligi imesimima makocha wanapata nafasi ya kujaribu wachezaji wasio pata nafasi pia sajiri mpya
Ngao ya jamii ndio alilolikosa kwasababu inaingia kwenye record za trophies ila Mapinduzi ni Bonanza halina maana yeyote. Makombe ya maana ya ndani yamebakia mawili ligi kuu na Azam federationKaisha alivyoyachukulia ndivyo alivyoyokq
Kombe la pili analikosa hili..
1.Ngao ya jamii
2.Mapinduzi Cup
Hilo hilo mapinduzi cup linaongeza thamaniNgao ya jamii ndio alilolikosa kwasababu inaingia kwenye record za trophies ila Mapinduzi ni Bonanza halina maana yeyote. Makombe ya maana ya ndani yamebakia mawili ligi kuu na Azam federation
Halina thamani, mkuu. Angalia profile za timu ya Yanga, huwezi Kuta ni bingwa wa Mapinduzi mara ngapi. Hiyo ni bonanza na ndio maana mchezaji anaruhusiwa kufanya majaribio hata kama hajasajiliwa.Hilo hilo mapinduzi cup linaongeza thamani
OkayHalina thamani, mkuu. Angalia profile za timu ya Yanga, huwezi Kuta ni bingwa wa Mapinduzi mara ngapi. Hiyo ni bonanza na ndio maana mchezaji anaruhusiwa kufanya majaribio hata kama hajasajiliwa.
Hakuna Pacome, Aucho, Yao wala Max. Max alichesha geresha mechi moja tu tena kipindi cha pili baada ya hapo kaendelea na mapumziko yake. Mmeachiwa mlio serious na mashindano mchukue kombe lenu la mapinduziNi suala la muda tu wakina pacome kuwasili mjini zanzibar
Kuna wakati mashindani yalichezwa na ligi inaendelea?Kwa mwaka huu mashindano yamekua na faida ukizingatia ligi imesimima makocha wanapata nafasi ya kujaribu wachezaji wasio pata nafasi pia sajiri mpya