Nimependa jinsi kocha wa Yanga anavyoyachukulia mashindano ya Mapinduzi

Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
Angemtumia na kocha wa Yanga B na wa akiba ili wakashiriki hayo mashindano kama hayamuumizi kichwa.
 
Ukifungwa 7+ kwenye Mapinduzi unapata hasara ipi? Huu ni muda wa wachezaji wengine kupumzika. Hawana umuhimu wa kupoteza nguvu zao kwa mashindano ya kipuuzi.
Simba na Yanga hazina game ndogo Wala kubwa siombei ila ngoja akosee afungwe huko mapinduzi na Simba uone kama hali itakuwa sawa
 
Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
Hata simba hivyohivyo, ni sehemu ya mazoezi tu ukizingatia club zipo likizo,hivyo huna jipya
 
Wakikutana Yanga na simba haitakiwi kuidharau gemu, inabidi gemu iwe full mkoko

Vinginevyo kelele za Makolo zitakuwa kuanzia januari hadi disemba

Utapoongea kidogo tu watu watakutumia poster ya yanga 1 - 9 simba

In short matokeo yoyote yanaingia kwenye history kama inavyokumbushwa history ya 1970+ huko 8-0
Ole MIIBA 5 imewauma sana akina Mr. Zero
 
Shirikisho ni kombe kubwa, linatambulika na FIFA na CAF. Mapinduzi ni bonanza au hulijui hilo? Ni mashindano ya kisiasa hayo kuenzi uhuru wa Zanzibar.
Makombe makubwa ni makombe yanayotambulika na FIFA ( kwa ngazi ya ndani ni ligi kuu na FA)
Kwahiyo mkichukua kombe zawadi ya mshindi wa kwanza mtawapa chama cha siasa au mtaimarisha timu?
 
Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
Kwani Unaumia gongowazi?
 
Gamondi na squad yake wameaga mashindano. Wanabakia wenye Mapinduzi yao sasa waendelee na Mapinduzi yao.
 
Kwa mwaka huu mashindano yamekua na faida ukizingatia ligi imesimima makocha wanapata nafasi ya kujaribu wachezaji wasio pata nafasi pia sajiri mpya
Kila mwaka huwa hivi...sio mwaka huu ndio ilivyooo
 
Kaisha alivyoyachukulia ndivyo alivyoyokq
Kombe la pili analikosa hili..
1.Ngao ya jamii
2.Mapinduzi Cup
 
Ngao ya jamii ndio alilolikosa kwasababu inaingia kwenye record za trophies ila Mapinduzi ni Bonanza halina maana yeyote. Makombe ya maana ya ndani yamebakia mawili ligi kuu na Azam federation
 
Hilo hilo mapinduzi cup linaongeza thamani
 
Halina thamani, mkuu. Angalia profile za timu ya Yanga, huwezi Kuta ni bingwa wa Mapinduzi mara ngapi. Hiyo ni bonanza na ndio maana mchezaji anaruhusiwa kufanya majaribio hata kama hajasajiliwa.
Okay
 
Wabongo wanaangaika hadi kwa Mapinduzi, mchezaji anakaa jukwaani halsfu anaingizwa sub. Hili ni bonanza tu ila watu wanaumia utafikiri ni mashindano ya maana
 
Ni suala la muda tu wakina pacome kuwasili mjini zanzibar
Hakuna Pacome, Aucho, Yao wala Max. Max alichesha geresha mechi moja tu tena kipindi cha pili baada ya hapo kaendelea na mapumziko yake. Mmeachiwa mlio serious na mashindano mchukue kombe lenu la mapinduzi
 
Kwa mwaka huu mashindano yamekua na faida ukizingatia ligi imesimima makocha wanapata nafasi ya kujaribu wachezaji wasio pata nafasi pia sajiri mpya
Kuna wakati mashindani yalichezwa na ligi inaendelea?
 
Back
Top Bottom