Nimependa jinsi kocha wa Yanga anavyoyachukulia mashindano ya Mapinduzi

Nimependa jinsi kocha wa Yanga anavyoyachukulia mashindano ya Mapinduzi

Hakuna Pacome, Aucho, Yao wala Max. Max alichesha geresha mechi moja tu tena kipindi cha pili baada ya hapo kaendelea na mapumziko yake. Mmeachiwa mlio serious na mashindano mchukue kombe lenu la mapinduzi
Max geresha, hamnazo wewe.
 
Maneno mengi kisa umeondolewa?. Ingekuwa ni bonanza msingepeleka timu kabisa.
 
Yanga wametolewa ipo wazi.
1.Kama walienda fanya mazoezi ni wao
2.Kama wameona ni ya nini basi iwe kwa nini walikuwepo huko.
3.Wakae chini, maana walipopiga watu 5 juzi juzi ilikuwa kelele nyingi.
 
Back
Top Bottom