Wakikutana Yanga na simba haitakiwi kuidharau gemu, inabidi gemu iwe full mkoko
Vinginevyo kelele za Makolo zitakuwa kuanzia januari hadi disemba
Utapoongea kidogo tu watu watakutumia poster ya yanga 1 - 9 simba
In short matokeo yoyote yanaingia kwenye history kama inavyokumbushwa history ya 1970+ huko 8-0
I think kila timu imeenda na malengo yake kuna walio enda kushiriki na walio enda kushindana na wengine vyote kwa pamoja so kila timu i stick kwenye plan yakeMwambie jamaa kiazi. Kwanza hakuna Yanga B hao ni players wanalipwa na wamesajiliwa
Then timu imekamilika kuna kina mkude Farid kibwana okrah na wengineo
Mnataka Yanga A ip Zaid ya hiyo
Hiyo 1970, 8-0 ilikuwa ni mechi gani mbona mnaandika habari za uongo sana humu.😛😛Wakikutana Yanga na simba haitakiwi kuidharau gemu, inabidi gemu iwe full mkoko
Vinginevyo kelele za Makolo zitakuwa kuanzia januari hadi disemba
Utapoongea kidogo tu watu watakutumia poster ya yanga 1 - 9 simba
In short matokeo yoyote yanaingia kwenye history kama inavyokumbushwa history ya 1970+ huko 8-0
Ukifungwa 7+ kwenye Mapinduzi unapata hasara ipi? Huu ni muda wa wachezaji wengine kupumzika. Hawana umuhimu wa kupoteza nguvu zao kwa mashindano ya kipuuzi.Kama tumeamua kuingia kwenye mashindano tupiganie kombe hakuna kusema sijui bonanza au blah blah nyingine kocha atapongezwa au kulaumiwa kwa matokeo atakayopata
We ukutane na Simba au azam atule 7+ utasema ni mapinduzi.
Ma matusi tena, timu imekamilika halafu umeishia kutaja wachezaji wanne tu, tena ambao walioingia kipindi cha pili. Nani kiazi hapo?Mwambie jamaa kiazi. Kwanza hakuna Yanga B hao ni players wanalipwa na wamesajiliwa
Then timu imekamilika kuna kina mkude Farid kibwana okrah na wengineo
Mnataka Yanga A ip Zaid ya hiyo
Simba na yanga wakikutana hawaangalii aina ya mashindano ata likiwa kombe la kuku lazima kikosi cha kwanza kiwe full mkoko,nani anataka aibu ya kufungwa goli 8!! Unajua hadha ya kufungwa goli nyingi na mtani?Ukifungwa 7+ kwenye Mapinduzi unapata hasara ipi? Huu ni muda wa wachezaji wengine kupumzika. Hawana umuhimu wa kupoteza nguvu zao kwa mashindano ya kipuuzi.
Ukubwa wa kombe unapimwa na nini? Kwanini Yanga inashiriki kombe la mapinduzi? Shirikisho ni kombe kubwa au la looser?Kufeli kufanyaje? Hivi kombe la Mapinduzi nalo la kumpa presha kocha ili alichukue? Huu ni ujinga
MIL 100 pambavuzaooKwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
Utopolo wako bize kutafuta visingizio baada ya Ile wanayodai ni 5G kuota mbawa!! Ukisikia moto wa mabua ndo huo.Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
Kwa Nini hii hoja hukuitoa baada ya mechi ya kwanza ya yanga? Jibu ni rahisi! mechi y kwanza uto walipiga 5G! Kwa Nini hii hoja imekuja baada ya mechi ya tatu? Jibu ni rahisi pia! mechi ya tatu uto walinuna baada ya kupata sare kwa mbinde kwa timu pinzani kunyimwa penati ya wazi!! Lakini is wanaandaa utetezi mapema baada yakumwona mnyama anawavitia Kasi kutaka kuwararua!!Kwanzia mashindano ya Mapinduzi yaanze, Gamondi wala haumizi kichwa juu ya mashindano hayo, squad yake imesheeni watoto wa Yanga B na wachezaji wasiopata namba kwenye kikosi cha Yanga. Mapinduzi cup ni bonanza lisilo na maana wala faida yoyote ile zaidi ya kisiasa, hata ikitokea Yanga wamekutana na timu ngumu au yenye ubora kama Simba, Azam au Singida, ni vyema kocha aachwe abakie na mtazamo wake huo huo pasipo kupewa presha yoyote na mashabiki, au viongozi ili kushinikiza wapangwe wachezaji wa first eleven. Hata Yanga ikifungwa, ifungwe ila squad ibakie vile vile tu.
Uto wanaweweseka baada ya kuonna kishindo Cha mnyama!!Mwambie jamaa kiazi. Kwanza hakuna Yanga B hao ni players wanalipwa na wamesajiliwa
Then timu imekamilika kuna kina mkude Farid kibwana okrah na wengineo
Mnataka Yanga A ip Zaid ya hiyo
Huu uzi nimeandika kabla hata kipindi cha kwanza cha mechi dhidi ya KVZ haijaisha. Na nimeweka wazi kabisa kuwa haijalishi Yanga afungwe au asifungwe ila kocha abakie na hiyo squad yake ya watoto na wasiopata namba ndani ya kikosi cha Yanga.Kwa Nini hii hoja hukuitoa baada ya mechi ya kwanza ya yanga? Jibu ni rahisi! mechi y kwanza uto walipiga 5G! Kwa Nini hii hoja imekuja baada ya mechi ya tatu? Jibu ni rahisi pia! mechi ya tatu uto walinuna baada ya kupata sare kwa mbinde kwa timu pinzani kunyimwa penati ya wazi!! Lakini is wanaandaa utetezi mapema baada yakumwona mnyama anawavitia Kasi kutaka kuwararua!!
Yaani utakuwa mjinga wa kiwango cha mwisho kusherekea kombe la Mapinduzi lisilotambulika hata shirikisho la FIFA. Au ndio mmeona ndiyo faraja iliyobakia kwenu? Eti moto wa mabua, huku kwenye ligi timu inashika nafasi ya pili na mechi mbili mkononi na migoli ya kutosha. Haya bebeni kombe la Mapinduzi, si mliwahi kubeba huku Yanga ikibeba kombe la FA na ligi kuu.Utopolo wako bize kutafuta visingizio baada ya Ile wanayodai ni 5G kuota mbawa!! Ukisikia moto wa mabua ndo huo.
Shirikisho ni kombe kubwa, linatambulika na FIFA na CAF. Mapinduzi ni bonanza au hulijui hilo? Ni mashindano ya kisiasa hayo kuenzi uhuru wa Zanzibar.Ukubwa wa kombe unapimwa na nini? Kwanini Yanga inashiriki kombe la mapinduzi? Shirikisho ni kombe kubwa au la looser?
Ni upumbavu huo ushabiki wa kutojua thamani ya mashindano, aina ya timu. Kocha awapange hao hao watoto tu.Simba na yanga wakikutana hawaangalii aina ya mashindano ata likiwa kombe la kuku lazima kikosi cha kwanza kiwe full mkoko,nani anataka aibu ya kufungwa goli 8!! Unajua hadha ya kufungwa goli nyingi na mtani?