Hakuna Pacome, Aucho, Yao wala Max. Max alichesha geresha mechi moja tu tena kipindi cha pili baada ya hapo kaendelea na mapumziko yake. Mmeachiwa mlio serious na mashindano mchukue kombe lenu la mapinduzi
Yanga wametolewa ipo wazi.
1.Kama walienda fanya mazoezi ni wao
2.Kama wameona ni ya nini basi iwe kwa nini walikuwepo huko.
3.Wakae chini, maana walipopiga watu 5 juzi juzi ilikuwa kelele nyingi.