Nimependa ujumbe wa Mange Kimambi kwa radical Muslims

Nimependa ujumbe wa Mange Kimambi kwa radical Muslims

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Mastermind wa mauwaji ya waandamanaji wa Iran, Ali Larijani, is dead

Justice served!!!!!

Wauwaji wa wananchi wanatakiwa kukutana na kifo kama wanachowapa wananchi wao.

I’m a Muslim, I’m not a radical Muslim. UAE, Saudi, Kuwait, Jordan, Bahrain hao pia ni Muslims na sio radical Muslims ila Islamic Republic of Iran ni radical Muslims.

20260318_075916.jpg


@realDonaldTrump POTUS Don’t stop till Iranians are FREE from these lunatics who shot them like dogs. Ignore all the noise.
 
Mauaji ya watoto 106 yanasaidiaje kuwafanya waIran kuwa huru??
Trump sio mwanademokrasia wala mtetezi wa haki za binadamu.
 
So UAE wanaua watu Libya, Sudan na kwengineko kibao ila hao sio radical sababu ni vipenzi vyetu na Trojan horse wa Taifa letu pendwa.

Ila Iran Nchi ambayo haijawahi kumvamia yoyote na inayojilinda hao ni radical na wanatakiwa wafutwe sio?

Kama bado hamjamuelewa huyo dada anafuata interest za Nani hutaelewa kamwe.
 
Mauaji ya watoto 106 yanasaidiaje kuwafanya waIran kuwa huru??
Trump sio mwanademokrasia wala mtetezi wa haki za binadamu.
Baada ya hii vita raia wa Iran watapitia hali ngumu sababu hasa ya uharibifu wa miundombinu muhimu na uchumi.
 
Mauaji ya watoto 106 yanasaidiaje kuwafanya waIran kuwa huru??
Trump sio mwanademokrasia wala mtetezi wa haki za binadamu.
Haya mambo Yamejaa unafki sana Kila mtu hujifanya kuwa huipenda haki mpaka siku pale maslahi yake yatakapo guswa

Au ule upande anaoushabikia utakapo Guswa na maumivu ndio utakapo uiona rangi yake halisi
 
Back
Top Bottom