Huyu jamaa aliua waandamanaji na yeye alipigwa akiwa ametoka maandamano.Mastermind wa mauwaji ya waandamanaji wa Iran, Ali Larijani, is dead
Bado Bimsumi na mahenchmen wakeHuyu jamaa aliua waandamanaji na yeye alipigwa akiwa ametoka maandamano.
Malipo ni hapa hapa
Baada ya hii vita raia wa Iran watapitia hali ngumu sababu hasa ya uharibifu wa miundombinu muhimu na uchumi.Mauaji ya watoto 106 yanasaidiaje kuwafanya waIran kuwa huru??
Trump sio mwanademokrasia wala mtetezi wa haki za binadamu.
Haya mambo Yamejaa unafki sana Kila mtu hujifanya kuwa huipenda haki mpaka siku pale maslahi yake yatakapo guswaMauaji ya watoto 106 yanasaidiaje kuwafanya waIran kuwa huru??
Trump sio mwanademokrasia wala mtetezi wa haki za binadamu.