jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwakuwa unatafuta ajira..atakusaidia kukuweka mjini komaa naye ila cheza kwa tahadhali.Huyu dada ni mhumudu wa bar moja hivi maarufu maeneo ya kijichi anaonesha dalili zote za kunitaka, kiukweli anavutia sana njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi.
Nishamsisitiza sana mimi sipo vizuri kiuchumi ila anadai haitaji pesa yangu yeye anataka penzi langu tu.
Wakuu, nimkaze au nimpotezee?
Asante kwa kunisahihisha unajua mienendo ya hawa wahudumu wengi wa bar ndo kama tunavyoijua kwaiyo inafika hatua akili inakalili kwamba wote wapo ivyo ivyoKufanya kazi bar sio kigezo cha kuwa Malaya .
Kuna watu ulaya na marekani wanasoma huku wanafanya kazi bar
Hapana mkuu naweza kubangaiza mwenyewe nikaishi ivyo ivyo sina kabisa nia ya kuchukua hata cent yakeKwakuwa unatafuta ajira..atakusaidia kukuweka mjini komaa naye ila cheza kwa tahadhali.
#MaendeleoHayanaChama
Sema huna hela....! Why unavunga na kuita majina ya ajabu..endelea kutafta kazi heshimu kazi za watuHahaha..kwa hii pisi sijawahi kutoa hata cent mkuu
jamaa anajifariji inshort naona yeye ndio kadata , maana mpaka kuanzisha uzi sio kitoto .Kuna point nimenote hapa kuwa huyo dada ni malaya, anavutia,alafu pia kala pesa za njemba kibao bila kuwapa uchi
Kwa ushauri wangu mkuu usimuache ,mkaze kisawasawa na nipo namzoom huyo mdada naona ni bikira kabisa
Kwani nimejitapa mimi ni tajiri mbona hata kwenye andiko kabisa kuna sehemu nimeandika sipo poa kiuchumi. Kuna post zangu nyingi tu kule kwenye jukwaa la ajira na tenda nikiomba wenye connection wanisaidie kupata kazi sijawahi kuficha hali yangu kiuchumi popote pale na wapi nimedhiaki kazi ya mtu?Sema huna hela....! Why unavunga na kuita majina ya ajabu..endelea kutafta kazi heshimu kazi za watu
Ushauri tu mkuu..Kwa hiyo hapa tukupe go ahead
Asante kwa nasaha zako mkuu nakiri hapo nimekoseaJifunze kutumia lugha ya tafsida mkuu, kumwita binti wa watu Malaya Ni kumkosea heshima Sana.
njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchiHuyu dada ni mhumudu wa bar moja hivi maarufu maeneo ya kijichi anaonesha dalili zote za kunitaka, kiukweli anavutia sana njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi.
Nishamsisitiza sana mimi sipo vizuri kiuchumi ila anadai haitaji pesa yangu yeye anataka penzi langu tu.
Wakuu, nimkaze au nimpotezee?
Wapo ambao nawajuanjemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi
Unajuaje hajagawa?we kijana vipi aisee
Basi usifanye ngono bila ndoaMimi bado sijaoa mkuu
Nmekusamehe
Huyu jinsia ni mbiliMtoa mada sema Jinsia yako tafadhali au LGBTQ?
Ila we ndugu [emoji16][emoji16][emoji16] upo open sana hadi unaleta rahaKumbe unaulizia kumkaza? Mi nilijua kasema umwoe[emoji15] aisee...hujakaa kiuanaume kabisa