Nimependwa na malaya

Nimependwa na malaya

Huyu dada ni mhumudu wa bar moja hivi maarufu maeneo ya kijichi anaonesha dalili zote za kunitaka, kiukweli anavutia sana njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi.

Nishamsisitiza sana mimi sipo vizuri kiuchumi ila anadai haitaji pesa yangu yeye anataka penzi langu tu.

Wakuu, nimkaze au nimpotezee?
Kwakuwa unatafuta ajira..atakusaidia kukuweka mjini komaa naye ila cheza kwa tahadhali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kufanya kazi bar sio kigezo cha kuwa Malaya .

Kuna watu ulaya na marekani wanasoma huku wanafanya kazi bar
Asante kwa kunisahihisha unajua mienendo ya hawa wahudumu wengi wa bar ndo kama tunavyoijua kwaiyo inafika hatua akili inakalili kwamba wote wapo ivyo ivyo
 
Kwakuwa unatafuta ajira..atakusaidia kukuweka mjini komaa naye ila cheza kwa tahadhali.

#MaendeleoHayanaChama
Hapana mkuu naweza kubangaiza mwenyewe nikaishi ivyo ivyo sina kabisa nia ya kuchukua hata cent yake
 
Kuna point nimenote hapa kuwa huyo dada ni malaya, anavutia,alafu pia kala pesa za njemba kibao bila kuwapa uchi
Kwa ushauri wangu mkuu usimuache ,mkaze kisawasawa na nipo namzoom huyo mdada naona ni bikira kabisa
jamaa anajifariji inshort naona yeye ndio kadata , maana mpaka kuanzisha uzi sio kitoto .

Ushauri kama umemuekewa wewe kula mzigo ila usisahau kutumia kinga
 
Sema huna hela....! Why unavunga na kuita majina ya ajabu..endelea kutafta kazi heshimu kazi za watu
Kwani nimejitapa mimi ni tajiri mbona hata kwenye andiko kabisa kuna sehemu nimeandika sipo poa kiuchumi. Kuna post zangu nyingi tu kule kwenye jukwaa la ajira na tenda nikiomba wenye connection wanisaidie kupata kazi sijawahi kuficha hali yangu kiuchumi popote pale na wapi nimedhiaki kazi ya mtu?
 
Jifunze kutumia lugha ya tafsida mkuu, kumwita binti wa watu Malaya Ni kumkosea heshima Sana.
 
Huyu dada ni mhumudu wa bar moja hivi maarufu maeneo ya kijichi anaonesha dalili zote za kunitaka, kiukweli anavutia sana njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi.

Nishamsisitiza sana mimi sipo vizuri kiuchumi ila anadai haitaji pesa yangu yeye anataka penzi langu tu.

Wakuu, nimkaze au nimpotezee?
njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi

Unajuaje hajagawa?we kijana vipi aisee
 
Back
Top Bottom