jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwakuwa unatafuta ajira..atakusaidia kukuweka mjini komaa naye ila cheza kwa tahadhali.Huyu dada ni mhumudu wa bar moja hivi maarufu maeneo ya kijichi anaonesha dalili zote za kunitaka, kiukweli anavutia sana njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi.
Nishamsisitiza sana mimi sipo vizuri kiuchumi ila anadai haitaji pesa yangu yeye anataka penzi langu tu.
Wakuu, nimkaze au nimpotezee?
#MaendeleoHayanaChama