Nimependwa na malaya

Nimependwa na malaya

Kwa namna moja we utakua unahudumumia vocha na usafiri/boda, hongera mkuu kuchaguliwa wizara ya uchukuzi na mawasiliano, punde utakutana wenzako wa wizara ya nishati(Luku) wizara ya makazi, wizara ya kilimo,mifugo na uvuvi(chips,nyama choma/msosi)
 
Anachofanya ni ku customize service kuendana na ujinga wako kuwaza kwamba unaweza pendwa na Malaya na usimpe chochote, ladies and gentlemen, hizi ndo akili za Taifa la kesho.
Mimi sio mgeni kwenye suala la kusoma akili za wadada wa aina hii, nimekulia sinza tena sinza ile ya hawamu ya mkapa na kikwete kipindi hicho biashara ya ukahaba sinza ilikua ndo makao makuu.. kona bar, meeda, la chaz ndo mitaa iliyonikuza.. ukweli ni kwamba hata malaya ambao ni expensive kabisa wapo wanaoangukia kwa mtu ambao hana hela
 
Kwa namna moja we utakua unahudumumia vocha na usafiri/boda, hongera mkuu kuchaguliwa wizara ya uchukuzi na mawasiliano, punde utakutana wenzako wa wizara ya nishati(Luku) wizara ya makazi, wizara ya kilimo,mifugo na uvuvi(chips,nyama choma/msosi)
Hahaha..kwa hii pisi sijawahi kutoa hata cent mkuu
 
Kwahiyo unajiona handsome sana au siyo
 
Kufanya kazi bar sio kigezo cha kuwa Malaya .

Kuna watu ulaya na marekani wanasoma huku wanafanya kazi bar
 
Wewe ukiitwa Malaya Kisa kazi Yako utajisikiaje??
Yeye anataka kupumzika kwenye ya alipendalo wewe unamkashifu what the hell jomba
Mienendo yake naijua ni mwanamke ambae hajatulia nimekosea kutumia lugha kali kidogo na nimeomba samahani kwa kutumia ilo jina
 
Back
Top Bottom