Nimependwa na malaya

Nimependwa na malaya

Kwani nimejitapa mimi ni tajiri mbona hata kwenye andiko kabisa kuna sehemu nimeandika sipo poa kiuchumi. Kuna post zangu nyingi tu kule kwenye jukwaa la ajira na tenda nikiomba wenye c...heshonnection wanisaidie kupata kazi sijawahi kuficha hali yangu kiuchumi popote pale na wapi nimedhiaki kazi ya mtu?
Umedhihaki kazi yake .hebu siku ukipata nafasi uwe unawauliza kazi zao zinasaidiane familia zao...sio kila anayeuza bar ni malaya
 
Kati ya wengi aliowakatalia pia kuna wengi aliowakubalia ana itikadi za kimalaya sema yupo selective kidogo ukiwa na dau zuri alfu una muonekano wa kuvutia unapiga.

malaya ni nomino
Na maana yake ni hii
mwanamke anayeuza mwili wake kwa wanaume kimapenzi
Visawe
kahaba
changudoa
kiberenge

Je huyo alitangaza kuuza mwili wake?
 
malaya ni nomino
Na maana yake ni hii
mwanamke anayeuza mwili wake kwa wanaume kimapenzi
Visawe
kahaba
changudoa
kiberenge

Je huyo alitangaza kuuza mwili wake?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mshana bhana... Eti Kiberenge,
 
Huyu dada ni mhumudu wa bar moja hivi maarufu maeneo ya kijichi anaonesha dalili zote za kunitaka, kiukweli anavutia sana njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi.

Nishamsisitiza sana mimi sipo vizuri kiuchumi ila anadai haitaji pesa yangu yeye anataka penzi langu tu.

Wakuu, nimkaze au nimpotezee?
Ukimwi Ukimwi Ukimwi
 
Kuna point nimenote hapa kuwa huyo dada ni malaya, anavutia,alafu pia kala pesa za njemba kibao bila kuwapa uchi
Kwa ushauri wangu mkuu usimuache ,mkaze kisawasawa na nipo namzoom huyo mdada naona ni bikira kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ushauri wa hovyo haijawahi tokea
 
Huyu dada ni mhumudu wa bar moja hivi maarufu maeneo ya kijichi anaonesha dalili zote za kunitaka, kiukweli anavutia sana njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi.

Nishamsisitiza sana mimi sipo vizuri kiuchumi ila anadai haitaji pesa yangu yeye anataka penzi langu tu.

Wakuu, nimkaze au nimpotezee?
Malaya ni mtu wa aina gani? Itoshe kusema kwamba umependwa na mhudumu wa Bar. Kula hela si kigezo cha mtu kuitwa hivyo.
 
Hamna malaya anaekula hela bila kuliwa usijifariji. We ona umependwa kumbe umo kwenye mpango wake wa REA.
 
Umedhihaki kazi yake .hebu siku ukipata nafasi uwe unawauliza kazi zao zinasaidiane familia zao...sio kila anayeuza bar ni malaya
Hakuna popote niliposema mhudumu wa bar ni malaya., nimetumia jina ilo kwa sababu najua mienendo yake.. hivi nikisema kuna dada ni malaya anafanya kazi benki maana ake wadada wote wanaofanya lazi benki ni malaya?
 
Back
Top Bottom