Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Umedhihaki kazi yake .hebu siku ukipata nafasi uwe unawauliza kazi zao zinasaidiane familia zao...sio kila anayeuza bar ni malayaKwani nimejitapa mimi ni tajiri mbona hata kwenye andiko kabisa kuna sehemu nimeandika sipo poa kiuchumi. Kuna post zangu nyingi tu kule kwenye jukwaa la ajira na tenda nikiomba wenye c...heshonnection wanisaidie kupata kazi sijawahi kuficha hali yangu kiuchumi popote pale na wapi nimedhiaki kazi ya mtu?