Nimependwa na mke wa mtu lakini watu wananionea wivu

Nimependwa na mke wa mtu lakini watu wananionea wivu

Hii ni story tu laini katika jamii zetu wapo watu wenye tabia kama hii. Wanadhani kuwa wanaweza kutembea na wake za watu na wasifanywe chochote. Hatakama mtu alikuwa mpenzi wako kabla hajaolewa akishaolewa tu achana nae tafuta mwingine. MKE WA MTU SUMU TUACHE KUISHI KIMAZOEA
Ukweli mtupu.Ila watu nao ni wabishi sana mpaka liwapate la kuwapata ndio wanatia akili.
 
Achana na hayo mambo, fanya mambo mengine... Ipo siku mume wake atakupenda pia...
 
Mwamposa Yuko jirani yako.............andaaa mkao WA kuliwa hata kama ni story Tu umeitunga
 
Hivi wanawake woote hawa waliopo uhangaike na mke wa mtu..? Labda useme tu unapenda slope sababu mke wa mtu ni mwendo wa slope bure bure...😀😀😀
 
Simulizi km simulizi nyinginee tuu,ukipakwa mafuta na kukojolewa ndani ndio utajua nn maana halisi ya
"Mke wa mtu sumu"maninaa ww
 
Back
Top Bottom