Nimepewa lift nikiwa na mtoto wangu, roho imeniuma sana

Ulipaswa ku focus na utaratibu mzuri uliojiwekea, usiruhu kuhamishwa kirahisi hivyo
Wakati tumeshuka mwanangu akaniuliza "baba mbona hujamlipa nauli"? Ikabidi nimuongopee tu nikamwambia nimempa ila wewe hukuona.
Kwanini umemdanganya mtito? Hiyo ni fursa uliipata kumfundisha mtito kwamba watu wema wapi
Au ungeikataa lift ili umpe mtoto fundisho kwamba anapaswa kuishi katika limits zake pale uwezo usiporuhusu, otherwise kama alipo hapamfai basi anapaswa kupambana kutoka pale alipo na hapaswi kupokea au kutegemea misaada ya wengine.
Niseme tu ukweli japo jamaa kanisaidia ila roho imeniuma sana, manake mwanangu anajua baba yake ndo mtu mwenye nguvu kuliko baba za watu wote, mwanangu anajua baba yake ndo mtu mwenye hela kuliko baba za watu wote.
Unamharibu mtito unapokimbilia misaada ya watu, tena msaada wentewe ni wa lift ya just kilometa moja na nusu.
Roho imeniuma sio kwa wivu wa chuki kwanini sina gari bali ni kwa wivu wa maendeleo, itabidi nipambane na mimi ili nimpeleke mwanangu shule na usafiri.
That's it. It's great that you felt challenged and responded positively to the challenge.
 
Unamoyooo kwamwendo huu hata basi inisimamoee pemben sipandiii
 
Nkajua noah...
 
that is the spirit
 
Yes unahitaji hayo maumivu ili upambane zaid. Na wewe upatr lako
 
SIoni sababu ya kuumia, na huyo mwanao unaedhani hajui kitu, unajidanganya, mtoto wa kisasa mwenye umri wa kwenda shule tayari anakua anayatambua mazingira yanayo mzunguka.

Anapoenda shule anaona wenzie wanapelekwa na magari yao binafsi, yeye anaenda kwa Daladala/ gari la shule.
Hivyo kaka nenda taratibu, mtoto anajua.
 
hayo maumivu yafanye kua fursa sasa,
nakuhakikishia ukiweka nia na bidii ya kazi na kufanya kazi kwa maarifa bila kukata tama..

kwa Neema na Baraka za Mungu mwaka huu hauishi utakua na IST yako mwenyewe, kama sio mapema mwaka ujao..

ni kujipanga na kuamua tu gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…