Nimepewa onyo na wafanyabiashara wenzangu nisipopandisha bei watakatisha uhai wangu

Monopoly is not acceptable kwenye biashara huria, kila Mtu auuze anavyoona yeye Kama inamlipa! Maana kuna Wafanyabiashara wengine wao wanapenda sana super profit!!
 
Watakuua wachaga hao 🤣🤣roho zao ziko kwenye hela kama mchungaji kimaro 🤣🤣katoea taarifa kituo Cha polisi au hamisha goli la biashara ,tafuta sehemu jiran kiasi na hapo afu uuze kwa bei hiyohiyo ya elfu 8 wateja wako watakufata
 
Usiogope.
Wafuate wanakokaa ama kufanyia biashara ukiwa na silaha kama vile panga na kisu.Wape hizo silaha kipole kabisa, waambie wakuue mapema kwakuwa sharti lao la kupunguza bei hautaliweza. Wakishindwa waambie kuwa atakayejaribu kukufuatilia tena atakuwa wa kwanza kufa.
Rudi kazini kwako kapige kazi.
 
Bei uliyo shusha haipo kiushindani! Ungefanya hata elf10 au 11 atleast

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Ivo yaan
 

Chai
 
Biashara ya mtu gani aliyocheza nayo?hio ni free market kama anapata faida aendelee kupiga hela,mbona alipokuwa hauzi hawakuja kumnasua?Na yeye pia ana familia itakufa njaa.
 
Wana point japo ya kukutoa uhai wamefika mbali sana, ushauri wangu chukua tahadhari usichukulie utani.
 
Hapo nenda kawashtaki na najua wataomba yaishe hapo usikubali labda wao wajiwekee dhamana ya ulinzi wa maisha yako
Nakubaliana na wewe,aende akaripoti,najua lengo sio kumuua ila kumtisha,maana muuaji hawezi kukufuta live na vitisho vya kijinga na anafahamika,najua hapo akikomaa watahamia kwenye uchawi ili kuua biashara,sasa huko jamaa ndio ajiimarishe kama ni kwa Mungu au apambane kishetani nayeye.
 
Babu uza bei hiyo hiyo elfu 8 wananchi wenye kipato kidogo tupate sehemu ya kupoza roho,mbeya,iringa, Kilimanjaro,ruvuma bei zao kitonga tu Ila dar wanajifanya wanauza bei kubwa mbezi kuna sehemu elfu 15
Mkipatikana watu 10 kama nyie maisha yatakuwa kitonga sana just image kabla pasaka nyama ya ng'ombe ilikuwa elfu 7 jana bei ikapaa wakawa wanauza elfu 9/10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…