Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
SanaaaaaaaaKitimoto kitamu sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaaaaaaaaKitimoto kitamu sana!
Hawa wahuni ndio huwa wanapandisha bei mwezi wa Ramadhani na sikukuu zinginei ili wapige faida kubwaBabu uza bei hiyo hiyo elfu 8 wananchi wenye kipato kidogo tupate sehemu ya kupoza roho,mbeya,iringa, Kilimanjaro,ruvuma bei zao kitonga tu Ila dar wanajifanya wanauza bei kubwa mbezi kuna sehemu elfu 15
Mkipatikana watu 10 kama nyie maisha yatakuwa kitonga sana just image kabla pasaka nyama ya ng'ombe ilikuwa elfu 7 jana bei ikapaa wakawa wanauza elfu 9/10
Watarudi tena watamwambia Oya punguza nyama tutakumaliza[emoji2]Hii imekaa pouwa sana mkuu. Bei aweke 12k ila awe anawapa kilo moja unusu.
TakbiiirAllah atakulinda mkuu
Uza 11,000Heri ya Pasaka!
Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa ikafikia hatua nyama ikawa tasteless napata hasara nyama natupa.
Baadae nikapiga hesabu nikasema ngoja nishushe bei niuze KG 1 kwa elfu 8, nikabandika tangazo kuwa nyama ni elfu 8 tu Mambo yakawa c haba nikaanza kupata wateja wakutosha tu kwa wiki nikawa nachinja mpaka nguruwe 3.
Juzi kijana wangu niliyemuajiri wakamfata wakamwambia dogo unatuharibia biashara tafadhali tunaomba uuze bei ile ile ya mwanzo 12k,dogo akasema mimi sio boss ngoja niwape namba za boss; walivyopata namba zangu wakanipandia hewani wakaanza kuniambia nishushe bei nawaharibia biashara na hiyo ndio biashara inayoendesha maisha yao na familia yao.
Leo asubuhi wamenifata nyumbani sijajua ni nani aliyewaelekeza wakanipiga mkwara mzito lazima roho yangu iende kuzimu.
Nipeni ushauri wananzengo, nifanyaje?Tusijekufika pabaya maana wanaoneka hawatanii.
Wasabato ndo hatuli, Waislamu wanakulaAnaishi kiislamu na kisabato
...Hueleweki ! Uza Bei wanayotaka Wao ya Alfu 12, halafu Bado umuongeze marja nyama ?Pole sana! Badilisha mfumo uza bei kama yao elf 12 lakin lile punguzo la elfu nne huwe unawaongeza nyama wateja wako. Pia toa report police
...Mbona hili Swali Muhimu hujibu ??...Wapi huko!
Hawahaw Waislamu kula nguruwe kwa kujificha halal lakini hadharani haram?Anaishi kiislamu na kisabato