kajengwa makunduch
Senior Member
- Sep 28, 2019
- 108
- 200
Kabisa, cha msingi hapo ni ku discourage hiyo tabia ya huyo mama kwenda na mtoto kwa huyo jamaa mwingine mwenye hivyo vikorombwezo vya mtoto. Kitanda akizai haramu, ila heshima iwepo. Jamaa aendelee kulea mtoto tu cha msingi ana vidhibitisho kuwa mtoto ni wakwake, mke akizingua baadae kumpa mtoto jamaa wa nje basi itabidi ampigie gharama za kulea mimba hadi mtoto alipofika.Kaushaa,tu Ila Kama unapenda mahisiano ya best yako na mke wake jaribu kuchunguza pata hints za uthibitisho mfate mke wake mchane akizingua mwamshie kwa mmewe
Hivi uzi unasemaje maana naona uliwai lecture
Unakuta unajitutumua kusomesha vizuri sio na kila weekend unawaringishia wenzio kutoka na mwanao out...Kama ingekuwa ni mimi nimekutikana na hilo kashikashi ningechofanya ni kuandaa mazingira ya kumpima mtoto na mimi DNA, ikithibitika sio wangu basi nachukua ushahidi wangu narudi home nampatia huyo mke wa mtu na kumwambia, "mama, malezi mazuri ya mtoto ni pande mbili yani baba na mama, chukua mtoto nenda kwa babake mkalee mtoto wenu, nilifikiria kumuua huyu mtoto lakini nafsi ikaniambia hausiki malaika huyu, nikafikiria kukuua wewe malaya nikaona malaika atabaki bila mama hausiki" chukua mtoto ondokeni kabla sijachukua maamuzi yote mawili niliyopingananayo.
What if Wanafamilia Wanajua na walisha yamaliza ila nyie wapambe wa Nje hamjui?
Kumpeleka mtoto kwa Jirani Sio Sababu...!!!
Hata mimi Nikaumua kumfananisha mtoto wangu na wako na Nikaruhusu mindset yangu ikubali kufanisha naweza sema mtoto wangu kafanana Na wewe
Wewe Kazi yako ni kwenda Kumchukua jamaa na Kuelekea Kazini Mengine Yaache!
Mimi hata rafiki zangu wakija Kwangu huwa wanajua Wafanye yote maongezi kuhusu familia yanguu waachee tuongee mengine ila chochote kuhusu familia Yangu Ni Big no! Either kiwe kizuri au kibaya Ni Big No! Hiyo ndio principle yangu ya Maisha Na wala mm huwa siwezi kwenda Ongelea Familia ya Mtu
Wale waleHayakuhusu
Hata alokupa habari mwambie hayamhusu