Nimepewa siri nashindwa kuitunza (roho inauma)

Soma vizuri mada nahisi kuna point haujaielewa
 
Habari zenu wazee wa mmu,

Nina mfanyakazi mwenzangu ambae pia ni best yangu sana kwa kuwa hata mipango ya maisha huwa tunapeana mbinu mbili tatu ili tuweze kuzidi kunyanyuka kimaendeleo.
Three things,
Watu wengi watakushauri usimwambie (Not a good idea). Pia do not be the one to break the news. Kingine don't let him have it all at once.

Ushahidi unaeza kuendelea kucollect. Mfano rafki yako anajua mtoto anakoshinda na sababu ya kushinda huko?? Fanya anonymous communication na ndugu yake mwenye busara. Muelezee. Yeye atafanya majadiliano ya kifamilia kuamua hilo jambo. Usimuambie rafiki yako wala usioneshe kujihusisha.
Sababu ya kumuambia ni hii. Kama huyo mkewe angetulia na asiwasiliane na baba halisi wa mtoto ni sawa. Ila kwa anavyofanya rafikiyo lazima atakuja kujua na atakuja kuumia mbeleni. Just help him handle this delicately na yeye ndo aamue kuishi katika hali hiyo akijua kila kitu.
 
Dah!! Mapnz haya kizungumkuti ...basi tu...

Chunguza kwanza upate ushahidi wa kina, then fikiri kabla ya kutenda.
 
Pima faida na hasara za hilo swala. Yaani ukipasua hilo jipu itakuwaje na usipolipasua itakuwaje.
Kumbuka utaenda kusambaratisha familia ya mwenzio.
Wanasemaga kitanda hakizai haramu.
 
Why do you think people cheat on marriages?
Because they engaged in the act right from the beginning.
Na huu ndio ukweli
Mezea tu mkuu usiingie dhambi
 
Naomba Namba za Huyo dada aliyekupa taarifa hizo mbaya please.
 
Kweli aisee[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Bilie wee fanya kama mlivyozoeshana usimwambie tena kaa mbali jifanye hujui kitu kwanza kitendo cha kumwambia rafiki yako atakuchukia mpaka maana anaona tangu naoa hadi kufiia hapo ulikuwa unajua hukumwambia hivyo ayaanza kumuchuki wewe
 
Hakuna bro,,,, huwezi ukawa chanzo tafuta njia ambayo ni yakumkanya huyo manzi yake mfano unataka kuniambia jamaa akaja akajua kuhusu inshu nzima ya uchafu wa mke wake na akatambua na wewe ulikua unajua a to z hukumwambia alafu ukizingatia nawewe ndio ulikua best yake mkubwa ambaye ulithubutu hata kumpatia lift karibu kila siku kwenda kazini Ila ulishindwa kumwambia mabaya aliyokuwa anayafanya mkewe unazani atajisikia poa au atakuchukuliaje?
Naona kama nitakuwa kivuruge fulani hivi nahisi mtibuano utaanzia pale na mimi naweza nikawa chanzo cha mtibuano huo.
 
Nimekuelewa @wa stendi
Bilie wee fanya kama mlivyozoeshana usimwambie tena kaa mbali jifanye hujui kitu kwanza kitendo cha kumwambia rafiki yako atakuchukia mpaka maana anaona tangu naoa hadi kufiia hapo ulikuwa unajua hukumwambia hivyo ayaanza kumuchuki wewe
 
Ukishindwa kutunza siri...naunahitaji iendelee kua siri,huna budi kujinyonga ili ufe na siri husika
 
nimeidharau hii mada nilipoona neno FB
 

Unajua affair za jamaa zaidi ya yeye muhusika mwenyewe!

Jeeez!
 
cha kufanya hapo mpigie simu mke wa jamaa mwambie afanye haraka amjuze mmewe juu ya ukweli wa huyo mtoto laa sivyo jukumu hilo utalichukua wewe.uone response ya shemeji yako akikusihi muongee,basi mshauri njia nzuri ya kumfikishia jamaa.

akiwa mkali tafita mtu baki asiye na uhusiano,na nyinyi wote amjulishe jamaa.

angalizo,uwe na ushahidi wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…