Nimepewa siri nashindwa kuitunza (roho inauma)

Soma vizuri mada nahisi kuna point haujaielewa
Kama ingekuwa ni mimi nimekutikana na hilo kashikashi ningechofanya ni kuandaa mazingira ya kumpima mtoto na mimi DNA, ikithibitika sio wangu basi nachukua ushahidi wangu narudi home nampatia huyo mke wa mtu na kumwambia, "mama, malezi mazuri ya mtoto ni pande mbili yani baba na mama, chukua mtoto nenda kwa babake mkalee mtoto wenu, nilifikiria kumuua huyu mtoto lakini nafsi ikaniambia hausiki malaika huyu, nikafikiria kukuua wewe malaya nikaona malaika atabaki bila mama hausiki" chukua mtoto ondokeni kabla sijachukua maamuzi yote mawili niliyopingananayo.
 
Habari zenu wazee wa mmu,

Nina mfanyakazi mwenzangu ambae pia ni best yangu sana kwa kuwa hata mipango ya maisha huwa tunapeana mbinu mbili tatu ili tuweze kuzidi kunyanyuka kimaendeleo.
Three things,
Watu wengi watakushauri usimwambie (Not a good idea). Pia do not be the one to break the news. Kingine don't let him have it all at once.

Ushahidi unaeza kuendelea kucollect. Mfano rafki yako anajua mtoto anakoshinda na sababu ya kushinda huko?? Fanya anonymous communication na ndugu yake mwenye busara. Muelezee. Yeye atafanya majadiliano ya kifamilia kuamua hilo jambo. Usimuambie rafiki yako wala usioneshe kujihusisha.
Sababu ya kumuambia ni hii. Kama huyo mkewe angetulia na asiwasiliane na baba halisi wa mtoto ni sawa. Ila kwa anavyofanya rafikiyo lazima atakuja kujua na atakuja kuumia mbeleni. Just help him handle this delicately na yeye ndo aamue kuishi katika hali hiyo akijua kila kitu.
 
Dah!! Mapnz haya kizungumkuti ...basi tu...

Chunguza kwanza upate ushahidi wa kina, then fikiri kabla ya kutenda.
 
Pima faida na hasara za hilo swala. Yaani ukipasua hilo jipu itakuwaje na usipolipasua itakuwaje.
Kumbuka utaenda kusambaratisha familia ya mwenzio.
Wanasemaga kitanda hakizai haramu.
 
Why do you think people cheat on marriages?
Because they engaged in the act right from the beginning.
Na huu ndio ukweli
Mezea tu mkuu usiingie dhambi
 
Naomba Namba za Huyo dada aliyekupa taarifa hizo mbaya please.
 
Kweli aisee[emoji120][emoji120][emoji120]
Kabisa, cha msingi hapo ni ku discourage hiyo tabia ya huyo mama kwenda na mtoto kwa huyo jamaa mwingine mwenye hivyo vikorombwezo vya mtoto. Kitanda akizai haramu, ila heshima iwepo. Jamaa aendelee kulea mtoto tu cha msingi ana vidhibitisho kuwa mtoto ni wakwake, mke akizingua baadae kumpa mtoto jamaa wa nje basi itabidi ampigie gharama za kulea mimba hadi mtoto alipofika.
 
Bilie wee fanya kama mlivyozoeshana usimwambie tena kaa mbali jifanye hujui kitu kwanza kitendo cha kumwambia rafiki yako atakuchukia mpaka maana anaona tangu naoa hadi kufiia hapo ulikuwa unajua hukumwambia hivyo ayaanza kumuchuki wewe
 
Hakuna bro,,,, huwezi ukawa chanzo tafuta njia ambayo ni yakumkanya huyo manzi yake mfano unataka kuniambia jamaa akaja akajua kuhusu inshu nzima ya uchafu wa mke wake na akatambua na wewe ulikua unajua a to z hukumwambia alafu ukizingatia nawewe ndio ulikua best yake mkubwa ambaye ulithubutu hata kumpatia lift karibu kila siku kwenda kazini Ila ulishindwa kumwambia mabaya aliyokuwa anayafanya mkewe unazani atajisikia poa au atakuchukuliaje?
Naona kama nitakuwa kivuruge fulani hivi nahisi mtibuano utaanzia pale na mimi naweza nikawa chanzo cha mtibuano huo.
 
Nimekuelewa @wa stendi
Bilie wee fanya kama mlivyozoeshana usimwambie tena kaa mbali jifanye hujui kitu kwanza kitendo cha kumwambia rafiki yako atakuchukia mpaka maana anaona tangu naoa hadi kufiia hapo ulikuwa unajua hukumwambia hivyo ayaanza kumuchuki wewe
 
Ukishindwa kutunza siri...naunahitaji iendelee kua siri,huna budi kujinyonga ili ufe na siri husika
 
Habari zenu wazee wa mmu,

Nina mfanyakazi mwenzangu ambae pia ni best yangu sana kwa kuwa hata mipango ya maisha huwa tunapeana mbinu mbili tatu ili tuweze kuzidi kunyanyuka kimaendeleo.

Mimi nimeoa na yeye ameoa sasa huyu jamaa yangu ni type fulani ya watu wapole kupita kiasi.

Hapa karibuni mke wake kamfukuza dada wa kazi na mtoto na wana mtoto wa miezi 10 hivi kama sikosei,mke wake nae ni muajiriwa sector nyingine tofauti na yetu, sasa huyu jamaa yangu huwa nampitia kumchukua na tunaenda kazini kwa sababu gari yake imepata ajali haiwezi tembea. Imekuwa kama ratiba ya kawaida mimi kumpitia pale nyumbani kwake kwa kuwa ni njiani kuelekea kazini

Sasa siku moja nimepack kwa nje namsubiria jamaa akatokea dada mmoja na kunisalimia nikiwa ndani ya gari akaniomba nimpe namba yangu kuna ishu sensitive anataka kuniambia. Mwanzo nilihisi labda anataka tuanzishe mahusiano nikataka kumpa namba ya uongo anyway kwa sababu mimi ni mwanaume nikasema ngoja nimpe ya ukweli.

Siku ya pili tangu nichukue ile namba nikapokea namba mpya kumbe ni ya yule mdada akaanza kuniomba msamaha kuwa hajapenda kunihusisha mambo ambayo hayanihusu,nikamuuliza mambo yapi?

Akaanza kuniambia rafiki yako unampitiaga kila siku kuna mchezo anachezewa, kuuliza upi akasema "Kaka nyie mkiondoka mke wake huwa anampeleka nyumba ya jirani mtoto kwa mmama fulani ambae huyo mama ana kijana yake ambae huku mtaani tunajua anatembea na mke wa rafiki yako na mtoto ni wa huyo jamaa so pale kwa yule mama kuna kila aina ya vikolo kolo vya kuchezea mtoto vimenunuliwa na yule kijana wa yule mtoto na yule mama

Kwa kujiongeza nikasema isije huyu dada alikuwa na mahusiano na jamaa yangu hivyo kaachwa sasa anataka kusambaratisha ndoa ya huyu rafiki yangu ikabidi nianze kuchunguza ndipo nikapata jina la yule kijana wa yule mama na kulisearch fb nikaziona picha zake na kuanza kuzifananisha na picha za yule mtoto wa rafiki yangu ki ukweli kama kuna ufanano fulani kati ya yule mtoto na yule kijana.

Sasa kila nikimpitia jamaa huwa namuangalia usoni natamani kumuambia ila sina kithibitisho ya yale niliyoambiwa na yule dada najikuta naumia mimi kwa sababu jamaa huwa ananieleza plan nzuri kuhusiana na familia yake haswa maendeleo ya kuwalinda watoto wasije fedheheka huko mbeleni.

Imefika muda nikimuona mke wa jamaa natamani nimpasukie ila ushahidi sina hebu wana mmu tushauriane. Je, hapa ni-mute au nitapike tu?
nimeidharau hii mada nilipoona neno FB
 
Unajua affair za jamaa zaidi ya yeye muhusika mwenyewe!

Jeeez!
 
cha kufanya hapo mpigie simu mke wa jamaa mwambie afanye haraka amjuze mmewe juu ya ukweli wa huyo mtoto laa sivyo jukumu hilo utalichukua wewe.uone response ya shemeji yako akikusihi muongee,basi mshauri njia nzuri ya kumfikishia jamaa.

akiwa mkali tafita mtu baki asiye na uhusiano,na nyinyi wote amjulishe jamaa.

angalizo,uwe na ushahidi wa kutosha.
 
Back
Top Bottom