Nimepewa Taarifa na washikaji zangu kijiweni kwamba kuna watu wananitafuta

Unajipa wasiwasi usio na maana, kama ni vyombo vya sheria au idara ya usalama ingekua inakutafuta na namba yako wanayo Wala hata wasingehangaika kuja kijiweni ungedakwa huko huko mbeya kama kuku
Watu wanazani idara zikiamua kumsaka mtu zinatumia nguvu.
Kuwa member tu hapa inatosha kupatikana kirahusi tu. Unakuta mtu anatumi android phones, au pc kwenye forums mbali mbali, halafu anajiona yuko safe. Technology is amazing
 
Ukiona rafiki wa zamani, ndugu mliopotezana muda mrefu au kidemu chako cha zamani wanakutafuta ghafla na kwa nguvu kimbia wala usigeuke nyuma.​
Iyo ilinitokea mwaka 2016, alinipigia simu mwanamke wangu wa nje akitaka tukasex ana hamu, mi nikamuambia we si juzi tu tulikulana vyakutosha,
Akasema bado nna hamu" kumbe alidakwa na kikosi maalum, urafiki na mtu usiyemjua ambae muhalifu ulinighalimu ela,
 
Ndugu yangu km wewe siyo chawa Wa Samia na CCM na hapo kijiweni wanajua msimamo wako ni afadhali usirudi Dar na ufikirie mkoa Wa kwenda ubadilishe na jina. Watakuja na watakukamata hapo au njiani na hutojuliakana umekwenda wapi. Wana mbinu na silaha watakudhibiti tu. Kimbia haraka. Ndipo tulipofikia.
 
RIP HAMZA,
MWAMBA ALIKUWA MZALENDO NAMBA 1.
 
Wale wafanya biashara ya madini wao walifanya tukio gani mpaka wakauliwa kikatili?
Wafanyabiashara wa Madini wa Ulanga miaka ile??

Mauaji hufanyika Kwa sababu kadhaa ikiwemo;
  • Maagizo kutoka Juu Kwa kuona treats za huyo mtu ama kikundi cha watu
  • Ugomvi wa Kibiashara hasa kuzurumiana
  • Ugomvi wa kimapenzi
  • Kulipa Kisasi
  • Kukosea target, badala ya X wakamfata Y
  • Nafasi za kiSiasa n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…