Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanazani idara zikiamua kumsaka mtu zinatumia nguvu.Unajipa wasiwasi usio na maana, kama ni vyombo vya sheria au idara ya usalama ingekua inakutafuta na namba yako wanayo Wala hata wasingehangaika kuja kijiweni ungedakwa huko huko mbeya kama kuku
Iyo ilinitokea mwaka 2016, alinipigia simu mwanamke wangu wa nje akitaka tukasex ana hamu, mi nikamuambia we si juzi tu tulikulana vyakutosha,Ukiona rafiki wa zamani, ndugu mliopotezana muda mrefu au kidemu chako cha zamani wanakutafuta ghafla na kwa nguvu kimbia wala usigeuke nyuma.
Hao hata wakija 20,watakaobaki hai wataandika Vitabu vya masimulizi!Tatizo wanakuwa wengi, siyo mmoja.
Be careful.
Mkuu Mimi huwa sitambiki,Mungu akunipatia Nguvu na Uwezo nishindwe kuvitumia!nikiwa kwenye matatizo kama haya hua naenda kutambika naachana na dini za majahazi kwa mda
oya baharia njoo nikuuzie nguvu za mizimu ya mababu zangu watakulinda.
Kwa Dunia ya sasa muhimu sana kuwa na ujuzi wa "self defense"Nataka nchi yote siku hiyo imtambue UMUGHAKA ni Kiumbe wa namna gani,nilitamani sana fursa kama hizi,hatimaye zimejileta zenyewe!
RIP HAMZA,Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nimepewa Taarifa na washikaji zangu hapo Dar es salaam ya kwamba kuna watu (Mwanamke 1 & Wanaume 2) wananitafuta!
Nikiwa Niko hapa Mbeya takribani miezi miwili Sasa nikiwa kwenye shughuli zangu nyingine,nilipigiwa simu na jamaa zangu wawili Kwa nyakati tofauti na wakanialifu ya kwamba kuna watu wamekuwa wakienda pale kijiweni kunitafuta na wanadai ya kwamba nimewahi kukopa pesa kwenye taasisi Yao (Jina kapuni) na nimeshindwa kulipa Deni Kwa wakati na kila wakinipigia simu sipokei na wakati mwingine nimewapigia Block!
Mbaya zaidi hao watu wananifahamu Kwa Majina yangu halisi kama ambavyo kijiweni nafahamika kwenye daftari la Umoja wa madereva bodaboda/Bajaji hapo Bunju!
Binafsi sijawahi kukopa pesa kwenye taasisi yeyote Ile hapa nchini na kwasasa sihitaji mkopo wa aina yeyote,Pili,Hakuna mtu yeyote au taasisi anayenidai pesa au kitu chochote!
Kutokana na matukio yanayoendelea hapa nchini,washikaji zangu walikuwa na mashaka na hao watu na wao wamenitaarifu ya kwamba hao watu kimionekano ni watu eidha kutoka Jeshi la Polisi au idara nyingine ya Kiusalama hapa nchini,kwasababu naarifiwa maswali ya dodoso waliyokuwa wakiulizwa siyo ya kawaida!
Hapo kijiweni Kuna jamaa alitoweka kwenye mazingira ya kutatanisha tangu mwezi wa 5 hadi Leo hii haijulikani Yuko wapi!
Juzi moja Kuna jamaa alinipigia simu huku akinichangamkia kishenzi akitaka nikamchukue maeneo ya IPTL nimpeleke Mbezi,Binafsi nikajua anaweza akawa miongoni mwa abiria wangu,kwakuwa hakujua kama sipo Dar es salaam nilimwambia "Mimi Niko mbali kidogo boss,ngoja nimshutue mshikaji wangu aje akuchukue hapo,nampatia namba yako"
Jamaa "Mimi nakutaka wewe kaka maana huwa uko makini sana barabarani"
Mimi "Sawa boss lakini Niko mbali (Sikutaka kumwambia nilipo) sidhani kama nitawahi ndiyo maana nakuomba nikuitie mtu ninaye muamini atakupeleka na utafika salama"
Jamaa "Hapana kaka,wewe kama ni pesa nitakuongezea Mimi nakutaka wewe"
Hapo ndipo nilipopata mashaka kwasababu abiria wa bodaboda tunawafahamu na siyo rahisi kihivyo,pili,Jamaa bado aliendelea kunipigia Simu japo nilimwambia nimetoka lakini hakukata tamaa!,baada ya kuona huo Usumbufu sikupokea hadi Leo.
Sasa,nafahamu mko humu na mnanisoma vizuri tu,Niwaambie mambo yafuatayo nyie Vishoka!
Mimi naitwa UMUGHAKA wengine hupenda kuniita UMUGHAKA WA BHAGHAKA
Dar es salaam narejea Mwezi Ujao,na kama kawaida Dar es salaam Sina shughuli nyingine zaidi ya Udereva wa Bodaboda!
Siku mtakapokuja kijiweni eidha ni kunikamata au Kwa jambo lolote lile baya,Njoeni kabisa mkiwa mmetubu na kuziaga familia zenu maana ni eidha mfe nyie au nife Mimi.
Narudia tena
Siku mtakapokuja kijiweni hakikisheni mmetubu na kuziaga familia zenu maana ni eidha mfe nyinyi au nife Mimi.
NATAKA NIFANYE KITUKO AMBACHO NAAMINI DUNIA NZIMA ITAGEUZA MACHO YOTE KUITAZAMA TANZANIA.
Mimi ndiye UMUGHAKA
Wale wafanya biashara ya madini wao walifanya tukio gani mpaka wakauliwa kikatili?Unadhani umefanya jambo lipi baya hadi utafutwe; Umeiba/Umedhurumu/Umetapeli/Umeua/Mkosoaji wa Serikali n.k.
Isijekuwa unatafutwa na Wasiojulikana
Wafanyabiashara wa Madini wa Ulanga miaka ile??Wale wafanya biashara ya madini wao walifanya tukio gani mpaka wakauliwa kikatili?