Nimepewa Taarifa na washikaji zangu kijiweni kwamba kuna watu wananitafuta

Liwalo na liwe, mnyonge hana cha kupoteza
 
Kumbe we ni mzee wa kanisa? Hongera sana.

Mimi nimeshajichanganya na ya dunia acha tu niendelee ndio ulevi wangu.
Unajua ukifika umri kama wangu ni lazima ujisogeze madhabahuni 🤗

Ninyi bado damu inachemka 😜
 
Muombe Mungu akuepushe na hayo usiku was leo!

Mkeo na watoto/mtoto.wanakutegemea sana!

Hivyo tu,ACHA kupambana mwenyewe Mungu yupo!
 
NATAKA NIFANYE KITUKO AMBACHO NAAMINI DUNIA NZIMA ITAGEUZA MACHO YOTE KUITAZAMA TANZANIA.


Mimi ndiye
@UMUGHAKA
Mkuu UMUGHAKA hao mbwa sio wa kuwalazia famu. Kwa kuwa ushajua mbinu zao jiandae uwe unatembea na sime kwenye koti ili siku wakiiingia anga zako uwaoasue vichwa.
 
Watu wakisikia habari za utekaji wanafikiri ni masihara au watu wanatafuta kiki ...

Lakini hili jambo ni real (LA kweli)

Nilidokezwa katika ofisi flani (sijawezi kuitaja) boss wa ofisi husika kapotea miezi minne sasa ...
Yaani alianza kusakamwa baada ya kupokea hela kutoka nje ya nchi ..
Kwa kazi zake anazofanya ..

Tena aliitwa na watu wakijidai ni maafisa wa kodi na mpaka Leo anatafutwa kuanzia hospitalini, polisi .. Bila mafanikio ...

Lakini kwa pembeni inasemwa ...ni wasiojulikana walimchukua wakitaka kugawana na walichoona kwenye account ...ambayo ni pesa yake halali ..

Sasa unaweza ukafikiri hili swala halinihusu kwa kuwa Mimi sijishughulishi na siasa ....Mara Mimi Nina kadi ya CCM Niko salama ...

Hii hali inaenda kukomaa ...na italeta shida kwakuwa ...wasiojulikanika wana silaha ...na magari ...hawazuiwi na check point ..za barabarani ...
Kama taifa tuna mlima mzito sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…