Nimepewa Taarifa na washikaji zangu kijiweni kwamba kuna watu wananitafuta

Mkuu ukiona land cruiser imepaki karibu yako na haijazimwa iko full tinted potea kwa spidi kali sana maeneo hayo
 
Safikabisa jitahidi uwemakini ,usiwe kama hawa nyumbu wa CHADEMA wanajijua wako risk lakini akiitwa pahala wanaenda kichwa kichwa
 
Kuna siku nilirud gheto kwangu nikaambiwa na majiran kuna wanaume watatu wamekuja kunitafuta na mmoja alikuwa anagonga mlangon kwangu huku ananiita majina yangu ya kazini ambayo mtaani hakuna anayeyajua.Niliulizia washikaji wote kazin hakuna aliyekuja pale na mbaya zaidi wanasema watanipigia simu sipokei wakati simu yangu ilikuwa ON.Niliingia ndani nikapotezea mpka leo kimya.
 
Kamanda usimalize maneno...hao itakua wahuni tu..ila wale jamaa wenyewe wenyewe kwa ulivopokea simu tu..saivi wangekuwa wanabinya kende..amini nakuambia
 
Na kikosi kazi hakimtafuti mtu bila sababu za msingi
 
Kwa Dunia ya sasa muhimu sana kuwa na ujuzi wa "self defense"

Binafsi nimesha watafutia wanangu Mwalimu wa karate ili mambo yasiwe mengi nyakati zao
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Weweeee..hivi hao jamaa unawachukuliaje kwanza..??kwamba wao mkono hawapigi..??
 
Una wa overrate mno mkuu, wala hawako sophisticated kihivyo ni weupe mno
Haaaahaaa....mdanganye mwenzio..kumbuka atakapotaitishwa..wewe silaha yako itakua bundle,,ndani ya blanketi zitooo..inasema free umughaka..free umughakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aya mambo yapo kwel ni kuomba neema ya Mungu t atuepushe nayo.

Tena kibongo bongo hakuna anejali la mtu wakikutaka kweli watakuja mpk getoni kwako kukuchukua ukiwa ndani kabisa huku majirani zako wakikuangalia ukitokomea na wahuni kusikojulikana na hakuna ata mmoja atakaekutetea.

Wabongo wako na nizamu ya uwoga ni wachache san wako na ujasiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…