Nimepewa Taarifa na washikaji zangu kijiweni kwamba kuna watu wananitafuta

labda Kama una jichekesha tu, ila Kama wazee wange kuhitaji Wala wasinge hangaika kuja kijiweni hovyo.

Na hata wakija huna la kufanya, Kama una bisha Kumbuka story ya mtikila (rip).
Chalii anajidanganya sana..labda atafutwe na wavuta bange...ila walee wazee he won't' stand a chance
 
Anajidanganya..aseme tu he will try his best to defend himself..lakini kua atawaweza nakataaa katu katu
Naunga mkono hoja, ile timu huwa imekamilika Kila Idara.

Kabla hawajakufikia, wanakuwa na taarifa zako zote hadi idadi ya round ulizo Du na girlfriend wako usiku....hivyo wanajua watumie nguvu kiasi gani kudeal na wewe
 
Hahahaha, hapo mwisho imebidi nicheke japo siyo mambo mazuri.
 
Naunga mkono hoja, ile timu huwa imekamilika Kila Idara.

Kabla hawajakufikia, wanakuwa na taarifa zako zote hadi idadi ya round ulizo Du na girlfriend wako usiku....hivyo wanajua watumie nguvu kiasi gani kudeal na wewe
Uko sahihi...tatizo yeye anaandika uku anaangalia muvi za jack chan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…