ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
Una wa overrate mno mkuu, wala hawako sophisticated kihivyo ni weupe mnoUnajipa wasiwasi usio na maana, kama ni vyombo vya sheria au idara ya usalama ingekua inakutafuta na namba yako wanayo Wala hata wasingehangaika kuja kijiweni ungedakwa huko huko mbeya kama kuku