Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Mwaka 2017 nilinunua pagara huko Mbeya!

Baadae niliezeka wakawa wanaishi watu.

Cost nilizotumia ni 4.5 M. Hadi leo kodi nayopokea haizidi elf 30 sehemu za mkoa wa Mbeya demand ya nyumba ndogo mno tofauti na mikoa kama Dodoma Mwanza au Dar.

Kifupi hailipi.

Nawaza ningeweka UTT leo ningekuwa nmezalisha hata milion 3 nyingine
 
Mbeya maeneo gani? Nyumba ina ukubwa gani?

Hiyo Mil 4.5 ni pamoja na ununuzi wa hilo pagala? Mimi ni mdau wa uwekezaji UTT ila kwa hapa nadhani hujafanya ulinganisho mzuri
we kama muwekezaj wa UTT unaelewa kila milion1 inazaa elf 10 sasa hyo mara hyo miaka tena ni uhakika
 
Back
Top Bottom