Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

Mwaka 2017 nilinunua pagara huko mbeya!
Baadae niliezeka wakawa wanaishi watu.
cost nilizotumia ni 4.5 M.Hadi leo kodi nayopokea haizidi elf 30 sehemu za mkoa wa mbeya demand ya nyumba ndogo mno tofauti na mikoa kama dodoma mwanza au dar.
Kifupi hailipi.

Nawaza ningeweka UTT leo ningekua nmezalisha hata milion 3 nyingine
Uvumilivu ni muhimu kwenye mafanikio.
 
sasa mkuu wa kuniumbua kwene huu uzi kwamba nataka nikope😂😂😂
ni kama umeenda sehemu mtu anaanza kuelezea historia ya magumu ulopitia aisee
Nimeona hiyo ndio njia sahihi ya kutatua changamoto inayokukabili.
Nenda kakope asset tayari unayo, km una biashara iendeleze kwa ukubwa. Na vizuri zaidi uko mikoa ambayo ina fursa nyingi za biashara, hapo labda ww uwe mvivu.

Angalizo kabla hujaenda kukopa omba kwa imani na panga mipango ya kitu unachoenda kufanyia huo mkopo, na baada ya kupata hizo pesa pia ziombee usifanyie vitu ambavyo sio lengo. Hizo pesa hata mjomba ako akimeza shoka usizitoe.!!
 
Back
Top Bottom