Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

Aisee hii UTT ni very serious. Ni pesa nzuri yenye faida isiyo na stress. Ukiwa na uwezo ukadondoshamo 100 hivi, aisee Tanzania utaifurahia kama middle class country.
Ni kweli, Changamoto ni kuipata hiyo 100m
 
Ikiwa nimeweka fedha zangu na nikahitaji kujiondoa, naweza chukua fedha zangu zote kwa UTT?
 
Ikiwa nimeweka fedha zangu na nikahitaji kujiondoa, naweza chukua fedha zangu zote kwa UTT?
Yes mkuu inawezekana, Lakini pia mifuko imetofautiana terms na conditions
Mfano mifuko hii 👇🏻
Jikimu fund
Liquid fund
Umoja fund

Unaweza ukachukua fedha zako muda wowote hata siku moja baada ya kufungua account

Ila mifuko hii

Bond fund
Wekeza maisha fund

Kuna taratibu za tofauti kidogo

Bond fund
Ukishafungua A/C huruhusiwi kutoa pesa mpaka miezi 3-6 ipite kwanza ndo utaweza kutoa pesa zako

Wekeza maisha fund
Ukishafungua A/C huruhusiwi kutoa pesa katika Kipindi cha miaka 10, japo ikisha pita miaka 5 unaweza ukatoa kiasi cha pesa zako, ila kama unataka kutoa zote itabidi usubiri mpaka miaks 10 ipite
 
asante kwa elimu
 
12% ya 4,500,000 ni 540,000
12% ya 5,040,000 ni 604,800
12% ya 5,644,800 ni 678,000

Kwa miaka mitatu ungepata 1,823,000
NB; Bado uwekezaji wa ardhi ni mzuri kwako.
Huu ni mfuko gani mkuu
 
Wakuu msaada,hivi ukiwa unapokea gawio la kila mwezi kutoka bond fund,je lile ongezeko la riba la kila mwezi utakua unapata pia au?
 
Back
Top Bottom