macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Huu ndiyo unaitwa ununda wa kuwekeza. Tangu lini nyumba za swekeni huko zikaitwa uwezekeji? Unakuwa kama jamaa mmoja alipata fedha za chapchap akakimbilia kujenga bonge la nyumba kijijini. Matokeo yake baadae alifilisika na nyumba haikumsadia. Wewe hata kipindi hicho ungetafuta kiwanja sehemu kama Dar, ukakinunua na kukiacha bila kufanya lolote, sasa hivi ungekuwa na faida.ndio ya hivo hivo sina hela ya kutosha ya kumalizia