Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
- #101
hiyo ni kwa mwezjMimi pia niko UTT hiyo 10,000 mwambie ni baada ya muda gani anapata hiyo faida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ni kwa mwezjMimi pia niko UTT hiyo 10,000 mwambie ni baada ya muda gani anapata hiyo faida.
Hii imenishangaza sana.!!Umeona wapi nyumba standard yenye thamani ya 4.5 million???
mbeya iwambi mbalizi labda uwe na fremuHii imenishangaza sana.!!
Lakini nimemshauri akopee bank aendeleze hustle zake, akitoboa ataiboresha na kuanza kuchukua kodi ya kueleweka.!!
Sehemu km Mbeya ni PESA hawezi kukosa kodi nzuri.!
ha ha
Alisema nzyovwembeya iwambi mbalizi labda uwe na fremu
Mpaka Nzovwe unapajua ww hatariAlisema nzyovwe
Hakika. Miaka 10 sio mingi. Kufumba na kufumbua hiyo hapo. Nipo kwenye safari hiyo piaHujachelewa unaweza kuanza hata leo ukajiwekea malengo ya miaka 10 ijayo
Mkuu mtoa mada kasema ilikua 2017 so ni kama mwaka wa 7 now12% ya 4,500,000 ni 540,000
12% ya 5,040,000 ni 604,800
12% ya 5,644,800 ni 678,000
Kwa miaka mitatu ungepata 1,823,000
NB; Bado uwekezaji wa ardhi ni mzuri kwako.