Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
we kama muwekezaj wa UTT unaelewa kila milion1 inazaa elf 10 sasa hyo mara hyo miaka tena ni uhakikaMbeya maeneo gani? Nyumba ina ukubwa gani?
Hiyo Mil 4.5 ni pamoja na ununuzi wa hilo pagala? Mimi ni mdau wa uwekezaji UTT ila kwa hapa nadhani hujafanya ulinganisho mzuri
Muda umenitupa haiwez lingana na mtu aliyeanza muda mrefuhujachelewa iuze pesa utakayopata kawekeze unapopataka
mbeya njia ya kwenda mbaliziMhmm!! Mbeya sehemu gani hiyo?
Nanyara?mbeya njia ya kwenda mbalizi
iwambiNanyara?
Basi hiyo nyumba itakuwa sio standard, yani kodi 30k kwa mwezi??iwambi
ndio ya hivo hivo sina hela ya kutosha ya kumaliziaBasi hiyo nyumba itakuwa sio standard, yani kodi 30k kwa mwezi??
Ndiomana, kaombe mkopo bankndio ya hivo hivo sina hela ya kutosha ya kumalizia
yaan ww unanifuatilia😂😂Ndiomana, kaombe mkopo bank
Kuna uzi humu uangalie wana wametiririkaNipe elimu kidogo kuhusu uwekezaj wa utt amis
sasa kwa ID yangu ilibidi niandike yapTupe mchanganuo wa huo mradi wako kabla hujajenga, ili tukupe ushauri na maboresho ya huo mradi ili uwe endelevu siku zijazo
Kwanini huwa unaulizwaga I'D yako haiendanagi na haya unayoyaandika