Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha


Mzee unadhani hayana top end security features ? Mkuu siku ikifika imefika kwakweli hakuna namna,
 
Unaambiwa Mkali Genius kadungure ginimbi, ndiye mwafrika wa kwanza kumiliki magari mengi yenye thamani kubwa duniani . Unaambiwa kufuru ya ginimbi , hata wasanii wa marekani wachache sana wanamgusa kwa ukwasi wake

The guy was filthy rich ,hata neno lenyew rich naona is underated , apumzike kwa amani
 
Halafu kina mbuligeti wametulia tu wanashika namba 2,1 na 3 na hata pesa walizonazo haziitwi zimezidi utajiri..😅

By the way nimependa hilo li njimmmmmmm...😜
 
Huyu mwamba alikuwa anakula kweli? Mbona "ufito" sana.
 
Ginimbi nouma Aisee hilo gari hapo ni Lamborghini aventador svj dolla za kimarekani laki tano hadi kuisafirisha hadi Harare iingie barabarani dollars zingine laki 5 jumla ni kama 1.2 millions dollars.

Isitoshe wanoko wanadai kwenye majumba yake yote ya kifahari mabomba yana mwaga maziwa, asali na maji safi na salama. Yani kuna opshen tatu za switch ya maziwa asali na maji Safi na salama pia kuna kitufe cha hot, warm, cool and cold.

Pavement za barabara zake ni dhahabu tupu.

Apokelewe tu kishujaa huko mbinguni hamna namna .

Habari za tajiri Muulize tu maskini!
 
Hivi ukwasi wake ulitokana na nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…