Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Diamond aka domo anapesa kuliko ginimbi Na kibamia ni tajiri kuliko ote hapendage show off
 
Aisee, marehemu ameungua MOTO WAKE hapa hapa duniani. jiwe na genge lake wajifunze kupitia hapo, Mungu mkubwa.
 
Jiwe haliungui likateketea kwa moto.Pengina lipigwe barut zenye heavy ya tan laki 7
 
heee jamani[emoji15][emoji15].

bomba la maziwa kwani anatembelewa na watoto??bora hata angeweka bomba la pombe[emoji23].

kama zile story za pistol ya dhahabu ya ghadafi,unawaza lengo ni nini[emoji848][emoji848]kuivaa shingoni au.
 
Inasemekana hadi huyu zari wa diamond amewai chakatwa na jamaa na juzi kati zari alikua na birthday jamaa alim post
Hamisa ashawahi chakatwa na jamaa na pia ashachakatwa na Ivan huyu Hamisa.
 
Kwani wewe mpaka sasa hivi hujapata connection za utajiri?!..maake uliomba sana humu mkuu
 
Hivi chief kweli mtu awe na USD 20 Million then awe milionaire au ulimaanisha ni Billionaire??!
Hiyo ni bil 46 bado utaitwa millionaire, ukifikisha kuanzia dollar billion 43 ambayo ni trillion moja ya kitanzania ndo utaitwa billionaire na duniani hawafiki hata 100,
 
Nilicho kipenda kwenye habari hii nii

""Habari ya utajiri wake mulize maskini""

Maisha ni mara moja tu duniani ukipata vitu vitumie sana kama yeye viwe vya halali au kuzimu ila pesa zote ni sawa.
 
Hiyo ni bil 46 bado utaitwa millionaire, ukifikisha kuanzia dollar billion 43 ambayo ni trillion moja ya kitanzania ndo utaitwa billionaire na duniani hawafiki hata 100,
Acha kudanganya kama hujui. Kwamba dola bilioni 43 ni trilioni 1 ya Tanzania, ulisikia wapi? Dola za Marekani milioni 480 zinatosha kukupa trilioni 1 ya Tanzania.

Billionaire ni mtu yeyote mwenye assets zinazofikia dola bilioni moja (in USD) kama akishatoa madeni yote alonayo. Ukiwa na mali za bilioni 3 ila unadaiwa jumla ya bilioni 2.6 wewe sio billionaire.

Duniani kuna zaidi ya 500 billionaires.
 
Hiyo ni bil 46 bado utaitwa millionaire, ukifikisha kuanzia dollar billion 43 ambayo ni trillion moja ya kitanzania ndo utaitwa billionaire na duniani hawafiki hata 100,
[emoji115][emoji115][emoji116][emoji116][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125] Thanks T14 Armata
Kuna watu wanatuona wote wajinga humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…