jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
Diamond aka domo anapesa kuliko ginimbi Na kibamia ni tajiri kuliko ote hapendage show off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipoteaga wapi mkuuHii inaitwa Chemical Powdered Fire Extinguisher
Domo utajiri wake ni 4 million us dollars. Ginimbi ni zaidi ya 100 million US dollarsDiamond aka domo anapesa kuliko ginimbi Na kibamia ni tajiri kuliko ote hapendage show off
Ginimbi nouma Aisee hilo gari hapo ni Lamborghini aventador svj dolla za kimarekani laki tano hadi kuisafirisha hadi Harare iingie barabarani dollars zingine laki 5 jumla ni kama 1.2 millions dollars.
Isitoshe wanoko wanadai kwenye majumba yake yote ya kifahari mabomba yana mwaga maziwa, asali na maji safi na salama. Yani kuna opshen tatu za switch ya maziwa asali na maji Safi na salama pia kuna kitufe cha hot, warm, cool and cold.
Pavement za barabara zake ni dhahabu tupu.
Apokelewe tu kishujaa huko mbinguni hamna namna .
Habari za tajiri Muulize tu maskini!
Ginimbi hakuungua na moto, walioungua ni wale wengine watatuAisee, marehemu ameungua MOTO WAKE hapa hapa duniani. jiwe na genge lake wajifunze kupitia hapo, Mungu mkubwa.
Hamisa ashawahi chakatwa na jamaa na pia ashachakatwa na Ivan huyu Hamisa.Inasemekana hadi huyu zari wa diamond amewai chakatwa na jamaa na juzi kati zari alikua na birthday jamaa alim post
Kwani wewe mpaka sasa hivi hujapata connection za utajiri?!..maake uliomba sana humu mkuuWakikuona umenyoa upara wakikaa vijiwe vyao vya magazeti na kahawa utasikia jamaa bwana ana masharti ya kunyoa upara tu ....au ukivaa sandals utasikia jamaa hatakiwi kuvaa viatu kabisa , ana masharti ya kuvaa sandals
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni bil 46 bado utaitwa millionaire, ukifikisha kuanzia dollar billion 43 ambayo ni trillion moja ya kitanzania ndo utaitwa billionaire na duniani hawafiki hata 100,Hivi chief kweli mtu awe na USD 20 Million then awe milionaire au ulimaanisha ni Billionaire??!
Hiyo ni bil 46 bado utaitwa millionaire, ukifikisha kuanzia dollar billion 43 ambayo ni trillion moja ya kitanzania ndo utaitwa billionaire na duniani hawafiki hata 100,Hivi chief kweli mtu awe na USD 20 Million then awe milionaire au ulimaanisha ni Billionaire??!
Acha kudanganya kama hujui. Kwamba dola bilioni 43 ni trilioni 1 ya Tanzania, ulisikia wapi? Dola za Marekani milioni 480 zinatosha kukupa trilioni 1 ya Tanzania.Hiyo ni bil 46 bado utaitwa millionaire, ukifikisha kuanzia dollar billion 43 ambayo ni trillion moja ya kitanzania ndo utaitwa billionaire na duniani hawafiki hata 100,
[emoji115][emoji115][emoji116][emoji116][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Hiyo ni bil 46 bado utaitwa millionaire, ukifikisha kuanzia dollar billion 43 ambayo ni trillion moja ya kitanzania ndo utaitwa billionaire na duniani hawafiki hata 100,
Thanks T14 ArmataAcha kudanganya kama hujui. Kwamba dola bilioni 43 ni trilioni 1 ya Tanzania, ulisikia wapi? Dola za Marekani milioni 480 zinatosha kukupa trilioni 1 ya Tanzania.
Billionaire ni mtu yeyote mwenye assets zinazofikia dola bilioni moja (in USD) kama akishatoa madeni yote alonayo. Ukiwa na mali za bilioni 3 ila unadaiwa jumla ya bilioni 2.6 wewe sio billionaire.
Duniani kuna zaidi ya 500 billionaires.