Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Hivi chief kweli mtu awe na USD 20 Million then awe milionaire au ulimaanisha ni Billionaire??!
 
 
Mkuu ni bora umeliona hili swala,,hizi imani za kusema aina ya kifo alichoondoka nacho marehemu fulani ndicho alichopangiwa ni upuuzi fulani wa ajabu mno,,hakuna uthibitsho wa moja kwa moja
Watu wavivu wana tabia ya kukubali mambo kabla ya uchunguzi.

Yani wanapenda majibu rahisi rahisi kama "kazi ya Mungu haina makosa" au "siku zake alizopangiwa zilifika"
 
Watu wavivu wana tabia ya kukubali mambo kabla ya uchunguzi.

Yani wanapenda majibu rahisi rahisi kama "kazi ya Mungu haina makosa" au "siku zake alizopangiwa zilifika"
Hizo kauli za hivo kwa haraka haraka ni matokeo ya hizi dini zetu,,hata viongozi wa kidini ukimuuliza uthibitisho wa izo kauli ni changamoto bado
 
Umemjibu vizuri huyo mpuuzi.
 
Jamaa nasikia alikua na umri wa miaka 36 tu alafu mama yake alikuwa anaishi kilomita 3 toka hapo anapoishi mshkaji mama yake alikua masikini wa kutupwa mpaka anafariki mwaka jana. Nasikia iyo ndagu yake ilikua hailuhusu kusaidia ndugu wala kuzaa.
Aisee
 
Hapo imeeleweka
 
Tafta pesa mapambano waachie wanajeshi!
Misingi ya pesa hutaftwa! Siyo kupambana!
Unless uwe ni bondia wa ngumi za shilikisho!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Yupo kwa ajili ya kubisha,hawezi elewa achana nae mkuu.Kwamba hajawahi ona jengo linateketea na gari la fire lipo pembeni haliwezi fanya chochote??..
 
We mbuzi wa mtori hujui kwamba kuna fume ambayo unaweza itega ikilipuka inazima kama Bomu!?
Pia hujui vyanzo vya moto kwenye gari viaanzia wapi?
Au unataka nikupe elimu kijanja kwendraa
Tuliza jazba mkuu, fire extinguisher yeyote inazima moto ambao upo kwenye capacity yake kuweza kuzima.Sasa mfano kwenye hiyo ajali,probaply unakuta tank la petroli lilipasuka na mafuta kumwagika chini na kwenye vyuma vya gari,hapo ikikutana na hata cheche tu za umeme kitachotokea ni EXPLOSION kama bomu wala sio moto wa kawaida unaoanza kidogo kidogo,ndio maana wengi huwa wanashindwa hata kujiokoa.Sasa moto wa namna hiyo hakuna fire extinguishe inayoweza zima maana hata yenyewe inaungulia huko huko kutokana na surprise.Yaani ni sawa sawa na uchukue bomu upige kwenye jengo lenye automated fire extinguisher system hakuna chochote zinaweza fanya maana zimekuwa surprised na moto wenye capacity kubwa zaidi yake...
 
Wewe hujui chochote! Kaa kimya! Kuna chemical ambazo zinaweza kuzima moto wa mafuta na umeme n.k!
Universal extinguisher!

Yaani inaweza zima moto dara A,B,C
Hii inaitwa Chemical Powdered Fire Extinguisher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…