Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

Inakuwaje wanaJF!

Ginimbi hatarii Aisee. Mungu ampokee kishujaa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa haijalishi angekuwa maskini ama tajiri.

Nimepiga mahesabu yangu ya haraka tu nadhan gharama za magari yote aliyomiliki ni kama 10-20 million US dollars.

Mfano tu ile Lamborghini avantador mpya ni 500k US $ kuisafirisha hadi kodi iingie barabaran na insurance ni 500k + $. Jumla 1.2 m

Ferrari 488 spyder 450k us $ ongezea kodi jumla 1.2 m
Hayo magari mawili tu yamemgharimu 2.5 US dollars.

Haya magari yote matatu Rolls Royce phantom, wrath na dawn yamemgharimu pamoja na kodi 3m + US$.

Bentley continental - 800k-1m US $

MERCEDES G 63- 800K-1M

RANFE ROVER SRV - 300k - 500k

Range rover autobiography 800k-1m

Yani hizo kwa uchache tu

Habari za tajiri Muulize maskini!

View attachment 1624186
Hivi chief kweli mtu awe na USD 20 Million then awe milionaire au ulimaanisha ni Billionaire??!
 
Unajua kwamba extinguisher zina capacity zake? Au unadhani sababu premio yako ina extinguisher basi inaweza kuzima moto wowote ule? Hata magari ya zima moto kuna moto mwingine yanasanda kama upo out of their capacity. Ndo nyie mnaodhani kama gari ni 4WD basi haiwezi kukwama kamwe.

Labda utuambie jina la kampuni yako tujue Kati yako wewe na yeye nani kazalisha ajira nyingi na kuacha urithi zaidi maana kampuni yake tayari inajulikana.
 
Mkuu ni bora umeliona hili swala,,hizi imani za kusema aina ya kifo alichoondoka nacho marehemu fulani ndicho alichopangiwa ni upuuzi fulani wa ajabu mno,,hakuna uthibitsho wa moja kwa moja
Watu wavivu wana tabia ya kukubali mambo kabla ya uchunguzi.

Yani wanapenda majibu rahisi rahisi kama "kazi ya Mungu haina makosa" au "siku zake alizopangiwa zilifika"
 
Watu wavivu wana tabia ya kukubali mambo kabla ya uchunguzi.

Yani wanapenda majibu rahisi rahisi kama "kazi ya Mungu haina makosa" au "siku zake alizopangiwa zilifika"
Hizo kauli za hivo kwa haraka haraka ni matokeo ya hizi dini zetu,,hata viongozi wa kidini ukimuuliza uthibitisho wa izo kauli ni changamoto bado
 
Unajua kwamba extinguisher zina capacity zake? Au unadhani sababu premio yako ina extinguisher basi inaweza kuzima moto wowote ule? Hata magari ya zima moto kuna moto mwingine yanasanda kama upo out of their capacity. Ndo nyie mnaodhani kama gari ni 4WD basi haiwezi kukwama kamwe.

Labda utuambie jina la kampuni yako tujue Kati yako wewe na yeye nani kazalisha ajira nyingi na kuacha urithi zaidi maana kampuni yake tayari inajulikana.
Umemjibu vizuri huyo mpuuzi.
 
Jamaa nasikia alikua na umri wa miaka 36 tu alafu mama yake alikuwa anaishi kilomita 3 toka hapo anapoishi mshkaji mama yake alikua masikini wa kutupwa mpaka anafariki mwaka jana. Nasikia iyo ndagu yake ilikua hailuhusu kusaidia ndugu wala kuzaa.
Aisee
 
Inakuwaje wanaJF!

Ginimbi hatarii Aisee. Mungu ampokee kishujaa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa haijalishi angekuwa maskini ama tajiri.

Nimepiga mahesabu yangu ya haraka tu nadhan gharama za magari yote aliyomiliki ni kama 10-20 million US dollars.

Mfano tu ile Lamborghini avantador mpya ni 500k US $ kuisafirisha hadi kodi iingie barabaran na insurance ni 500k + $. Jumla 1.2 m

Ferrari 488 spyder 450k us $ ongezea kodi jumla 1.2 m
Hayo magari mawili tu yamemgharimu 2.5 US dollars.

Haya magari yote matatu Rolls Royce phantom, wrath na dawn yamemgharimu pamoja na kodi 3m + US$.

Bentley continental - 800k-1m US $

MERCEDES G 63- 800K-1M

RANFE ROVER SRV - 300k - 500k

Range rover autobiography 800k-1m

Yani hizo kwa uchache tu

[/Habari za tajiri Muulize maskini!][/color]

View attachment 1624186
Hapo imeeleweka
 
Ona unavyopuyanga, nimekwambia capacity sio type. Kuwa na multi-purpose fire extinguisher ABC hakufanyi iweze kuzima moto mkubwa kuliko uwezo wake. Huwa mnasomea ujinga huko shuleni? Wildfires zinazimwa mbaka na ndege na bado zinachukua miezi kuzimika
Yupo kwa ajili ya kubisha,hawezi elewa achana nae mkuu.Kwamba hajawahi ona jengo linateketea na gari la fire lipo pembeni haliwezi fanya chochote??..
 
We mbuzi wa mtori hujui kwamba kuna fume ambayo unaweza itega ikilipuka inazima kama Bomu!?
Pia hujui vyanzo vya moto kwenye gari viaanzia wapi?
Au unataka nikupe elimu kijanja kwendraa
Tuliza jazba mkuu, fire extinguisher yeyote inazima moto ambao upo kwenye capacity yake kuweza kuzima.Sasa mfano kwenye hiyo ajali,probaply unakuta tank la petroli lilipasuka na mafuta kumwagika chini na kwenye vyuma vya gari,hapo ikikutana na hata cheche tu za umeme kitachotokea ni EXPLOSION kama bomu wala sio moto wa kawaida unaoanza kidogo kidogo,ndio maana wengi huwa wanashindwa hata kujiokoa.Sasa moto wa namna hiyo hakuna fire extinguishe inayoweza zima maana hata yenyewe inaungulia huko huko kutokana na surprise.Yaani ni sawa sawa na uchukue bomu upige kwenye jengo lenye automated fire extinguisher system hakuna chochote zinaweza fanya maana zimekuwa surprised na moto wenye capacity kubwa zaidi yake...
 
Wewe hujui chochote! Kaa kimya! Kuna chemical ambazo zinaweza kuzima moto wa mafuta na umeme n.k!
Universal extinguisher!

Yaani inaweza zima moto dara A,B,C
Hii inaitwa Chemical Powdered Fire Extinguisher
 
Back
Top Bottom