Nimepiga marufuku safari zote za mke wangu msimu huu wa sikukuu

Yaan apa mkuu umeongea ukweli mtupu kabisa utadhan uko kichwani na moyoni mwangu,kiukweli Hii kitu inanivuruga mno[emoji29]
 

Kweli kabisa mkuu, mamaJ nishajua Mara kibao ananicheat, ata sijawai umiza kichwa Kama inavonivuruga Hii kwa Sasa.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu mke unamuwekea mikakti ya kivita kama HAMAS
 
Sawa,acha mawazo mabaya mkuu,hata asipoenda kwa huyo unayemuhisi wa hiyo line!Wanaweza kufanya mchongo mwingine wa huyo njemba tana kuja kufanya Yao hapohapo kwako.Ruhusu tuu aende mengine,mwachie Mungu.
Yaan Wee ndo unaharibu kabisa,
Kwamba waje kufanya Yao kwangu?
Hivi uko serious mkuu? Hivi Ayo yanafanyika Niko hai au nmekufa?
 
Hivi kwanini unaempenda akizingua moyo unaumaa sana, ni anakua akiuchokonoa ama maana moyo unakua kama unataka kutoka hivi, hii mambo ya kupendana inakua ni kama umeficha mtu moyoni kama msukule, mpende kwa kiasi wapendwa wa bwana
 
Huyo mama mkubwa utakuta hana mume au kama anae ni zezeta. Umeshaolewa tulia na mumeo kwa mama mkubwa kufanya nini na watoto, yeye hana wajukuu hadi atake wa mdogo wake! Send off mnafanyiwa kuagwa halafu hamtulii kwa waume zenu,
 
Hivi kwanini unaempenda akizingua moyo unaumaa sana, ni anakua akiuchokonoa ama maana moyo unakua kama unataka kutoka hivi, hii mambo ya kupendana inakua ni kama umeficha mtu moyoni kama msukule, mpende kwa kiasi wapendwa wa bwana
Kweli kabisa,huu mtihani nnaopitia ndo nmejua kias uwa nampenda sana wife[emoji29]
 
Mke anachungwa kama mbuzi? Hutafaulu mkuu, kama kugongwa lazima atagomgwa tu! Ila ma vijana ya siku hizi mmekuwa mapopoma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…