Nimepiga mkwara mzito huyu manzi, huwa siendekezi ujinga.

Nyoosha huyo mpaka akae sawa
 
Unga kg 50 watu wawili mbona bajeti kubwa Sana
We bajet yako unabidi isiwe kubwa Sana mfano unga nunua hata kilo 5 mchele debe moja na Alizet Lita tano (05)

So... Jambo... La muhimu unabidi kuishi economically zaidi na sio kununua vitu vingi Sana even me ningekuwa naishi gheto lako ningeweza kugawa kwa majirani
 
Sasa mm mnyakyusa nimeondoka mbeya kwenda kutafuta maisha sehemu nyingine naambiwa nusu kilo kitimoto 3000!!!!! Kmamae kesho narud home kuisulubu k. Moto
 
Nyie ndio wale wanawasemaga mkizeeka mnakuwa wanga,ila kaza kamba shee mmebaki wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…