kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia.
Mzigo ulivyofika nilipata usumbufu namna ya kumfikia transporter wa kuleta mkoa nilipo. Karibu siku mbili nahangaishwa tu mwisho ukatumwa na ukanifikia
Sasa shida imekujaje, nikaona ngoja niwasilishe maoni yangu ili kama kuna maboresho waweze kuyafanyia kazi khaa nimepigiwa simu na huyo anaejiita boss wa hiyo kampuni nime TUKANWA sana na kula block juu.
Shida yetu wabongo tukianza kupiga hatua huwa TUNAJIONA tumemaliza kila kitu na customer service hakuna tena.
Ndio yamenikuta leo