Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana jamaa ndo mwenye kampuni...Mh yani akili za Wanatanzania kama bado zinafanana na hii yako waalah maendeleo mtayasikia tu nchi za mbali, yani kampuni isiwe accurate eti kisa inahudumia watu wengi are you serious? eti usitegemee kuhudumiwa unavotaka, are you for real? dah yani mnaintertain stupid things like that na mnaona ni sawa kabisa hani, nchi za wenzetu iko hivi:-
Kampuni lazima iende na muda watake wasitake , wawe na watu wengi au wasiwe nao lakini muda lazimw uzingatiwe, wakiwa slow means kampuni haifai na watu huikimbia, pia kampuni kama inaona inalemewa na inahitaki kukeep time basi hucancel some orders ama hukataa baadhi ya order ama hukupa tarehe za mbali ili uamue mwenyewe, na ili wabaki na idadi wanayoweza kuhudumia kwa haraka kwa wakati husika.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Pole mzee wabongo hatupendi kukosolewa na tukiwa na wateja wengi wewe mmoja wanini??Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia.
Mzigo ulivyofika nilipata usumbufu namna ya kumfikia transporter wa kuleta mkoa nilipo. Karibu siku mbili nahangaishwa tu mwisho ukatumwa na ukanifikia
Sasa shida imekujaje, nikaona ngoja niwasilishe maoni yangu ili kama kuna maboresho waweze kuyafanyia kazi khaa nimepigiwa simu na huyo anaejiita boss wa hiyo kampuni nime TUKANWA sana na kula block juu.
Shida yetu wabongo tukianza kupiga hatua huwa TUNAJIONA tumemaliza kila kitu na customer service hakuna tena.
Ndio yamenikuta leo
Peleka tcraWa voice note
Kampuni gani hiyo unaifichaficha si uitaje?Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia.
Mzigo ulivyofika nilipata usumbufu namna ya kumfikia transporter wa kuleta mkoa nilipo. Karibu siku mbili nahangaishwa tu mwisho ukatumwa na ukanifikia
Sasa shida imekujaje, nikaona ngoja niwasilishe maoni yangu ili kama kuna maboresho waweze kuyafanyia kazi khaa nimepigiwa simu na huyo anaejiita boss wa hiyo kampuni nime TUKANWA sana na kula block juu.
Shida yetu wabongo tukianza kupiga hatua huwa TUNAJIONA tumemaliza kila kitu na customer service hakuna tena.
Ndio yamenikuta leo
Taja kampuni acha utotoNi kweli lakini mi nimeona kalewa sifa tu ambazo hazina msingi hapa pangekuwa panaweza kuweka voice note ningeweka ila kumtaja naona haina afya kwake
Sasa ulikuwa unajivuta nini kutaja?Shamwaa
Sass kama mzigo ulioagiza umeshakufikia kwanini uendelee kuleta usumbufu Mzee Baba! Unajua wale watu wanashughulikia mamia kwa maelfu ya wateja kwa hiyo usitegemee mambo yataenda vile wewe unataka. Badilika wewe na siyo kutaka wenzako ndo wabadilike. Usiku mwema
Aquila non capit muscas!
Serious wamejibrand vizuri insta ila wapuuzi tu.Shamwaa? Wameshakua hivyo? Duh uwa nawakubali sana
Tunaridhika mapema. Yani mtu akishaanza ingiza labda mils 200 kwa mwezi basi anaona wengine mabwege tuSerious wamejibrand vizuri insta ila wapuuzi tu.
Sijui shida ni nini na sisi ngozi nyeusi. Tabu tupu.
DuhVoice note hiyo