Nimepigiwa simu na matapeli leo

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Matapeli ya mtandao wamerejea.

Mapuuzi yamekutana na mtu mwerevu. Basi naomba ni share namba zao na ujumbe wao incase wakikutafuteni nanyi msiwape nafasi.



 
Ungemsogeza karibu mwisho wa siku ungemshikisha ukuta!

Ww ni mtua?
Ana bahati sana siku wa rekodi ila.mpaka sasa namba zao.zapatikana ukiwatwangia walivyo wajinha wana pokea.

Huwa najiulizaga hawa watu wa mawasiliano huwa wana handle vipi izi issue mbali na kuwa report
 
Kawaida mbona hiyo wapo kitambo mkuu! Labda kama ndio leo umepatwa.
 
Kawaida mbona hiyo wapo kitambo mkuu! Labda kama ndio leo umepatwa.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Nilikuwa Dublin muda mrefu ndio mara kwanza kujutana na huu ulimbukeni
 
Kuna mmoja alinipigia ananiambia mtoto wako kaanguka shule anatokwa dam puani Mimi ni dereva wa shule nimepewa jukum la kumleta hosptal.

Nimefika hosptali hapa wametaka 50000 waaanze huduma tuma fasta kwa no hiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kidogo niingie mkenge
 
Mkuu haya mambo yalitakiwa yaishie kwenye simu yako maswala ya kuweka namba yangu hadharani hiyo tabia ife Leo..πŸ˜‚
 
Mkuu kwa staili hiyo wakifanya kwa watu 100 lazima watu 5 au 3 wataingia mkenge tuu,πŸ˜„
 
Mm nili jifanya mluga luga toka ulanga huko milimani basi jamaa akajua kaokota dodo ktk mpera πŸ˜†πŸ˜†
Kwa hiyo ulijifanya wewe Mtua wa Epanko au ni Mbuyi kutoka Isongo! 😁😁
 
Kuna mmoja nilimwandalia mtego akaingia mazima, alichokutana nacho nadhani atawasimulia Hadi wajukuu.
 
Ukiwashtukia huwa wanatukana ile mimatusi inayoanzia na K
 
Na hawaishagi hao kila siku wanabuni mbinu mpya.

Ahsante kwa kushare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…